Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Sio brand? Unataka kusema adidas (na raba zote in same category) is cheaper online?Inategemea unanunulia wapi, online is much cheaper
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio brand? Unataka kusema adidas (na raba zote in same category) is cheaper online?Inategemea unanunulia wapi, online is much cheaper
Rafiki rudi Tanzania tuje kupigania katiba mpya.Inategemea unanunulia wapi, online is much cheaper
Hizo ndio nazozitaka mzee.. nipe mbinuKazi zipo za kutosha, Ila ni za unskilled
Kazi ni kazi tu mkuu cha muhimu pesa iingie, kufika huko na kupata hizo kazi process zikoje mkuuKazi zipo za kutosha, Ila ni za unskilled
Hapa sikukatalii ngoja sie tuone tunapata wapi vumbi la Kongo ili tuipelekee Moto mbususu mpaka iwe inachezacheza Kama vile unapumua. Huko Wana shida Sana sie huku mpunga wa kutosha na ng'ombe za kutosha. Nyumba ya nyasi tuna relax. Huko bila kufanya kazi hauishi Ila sie huku tusippfanya kazi twala Bata badoIla bado nasisitiza wenzetu wanafanya sana kazi na wanaishi, hili yapaswa kuwa somo kubwa kwetu wabongo.
Kwake yeye ndio cha maana shida nyinyi mna malengo yenu vichwani juu yake.Kuna sista yangu yupo Japan since 2003 to date, hakuna cha maana alichofanya. Anatufikirisha sana hatujui tatizo nini huko hafanyi mambo kabisa ni fashion/pamba kwa kwenda mbele.
Basi mkuu, umeshanijibu hapaMbinu gani?
Kufika huku utajua mwenyewe utafanyaje, Ila ukifika nitafute
Mkuu tuwe wakweli, wewe mwanao akienda nje kusoma kisha akawa kazi kuvaa na kuzurula mitaani uko miaka nenda rudi hana maisha ya maana utasema ndio malengo yake. Hapa tunazungumzia kwa wanafamilia in most cases hawapendi kuona mwenzao anaharibikiwa kisa kachagua yeyeKwake yeye ndio cha maana shida nyinyi mna malengo yenu vichwani juu yake.
Jibu langu ni like lile uliloquote.Mkuu tuwe wakweli, wewe mwanao akienda nje kusoma kisha akawa kazi kuvaa na kuzurula mitaani uko miaka nenda rudi hana maisha ya maana utasema ndio malengo yake. Hapa tunazungumzia kwa wanafamilia in most cases hawapendi kuona mwenzao anaharibikiwa kisa kachagua yeye
Malmo ni wapi?Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi.
Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha.
Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea Malmo baada ya kuwepo huko kwa wiki mbili, na hakika nimepata kilichonipeleka.
Baada ya kurudi gheto nimekuta sio safi sana, ila sio pachafu sana kwa kuwa napenda sana usafi.
Kuna kipindi wengi waliniuliza napoishi huku Leirvik,naishi pa kawaida sana wala hakuna sana maajabu cha msingi uweze tu kupata pesa ya kutosha kutoka kwenye mishe zako na hilo ndio lililonileta.
Ila bado nasisitiza wenzetu wanafanya sana kazi na wanaishi, hili yapaswa kuwa somo kubwa kwetu wabongo.
Kutokana na furaha niliyonayo, naruhusu maswali Ila sio ya kukera, namaanisha ni kama tunapiga story.
View attachment 1840422View attachment 1840423View attachment 1840424View attachment 1840425View attachment 1840426View attachment 1840429View attachment 1840430View attachment 1840433View attachment 1840434View attachment 1840436