Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Ila bado nasisitiza wenzetu wanafanya sana kazi na wanaishi, hili yapaswa kuwa somo kubwa kwetu wabongo.
Hapa sikukatalii ngoja sie tuone tunapata wapi vumbi la Kongo ili tuipelekee Moto mbususu mpaka iwe inachezacheza Kama vile unapumua. Huko Wana shida Sana sie huku mpunga wa kutosha na ng'ombe za kutosha. Nyumba ya nyasi tuna relax. Huko bila kufanya kazi hauishi Ila sie huku tusippfanya kazi twala Bata bado
 
Kwake yeye ndio cha maana shida nyinyi mna malengo yenu vichwani juu yake.
Mkuu tuwe wakweli, wewe mwanao akienda nje kusoma kisha akawa kazi kuvaa na kuzurula mitaani uko miaka nenda rudi hana maisha ya maana utasema ndio malengo yake. Hapa tunazungumzia kwa wanafamilia in most cases hawapendi kuona mwenzao anaharibikiwa kisa kachagua yeye
 
Jibu langu ni like lile uliloquote.
 
Malmo ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…