Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Duh! wee jamaa aisee.....unafanya hadi show-off za gheto kujaribu kuwashawishi vijana, naona umepewa tenda ya kufa mtu...
 
Wewe huna lolote..nilikuuliza swali kwa siku kibarua analipwa sh ngapi, mpaka leo hujajibu!!
 
Kama unatucheka sisi
 
Power to you braza, wengine tulirudi bila malengo imetugharimu sana..usisikize hoja za nyumbani kumenoga ni USHUZI mtupu brazamen
 
Eti nasikia jela za huko kuna mpaka TV unapolala , hivi nikizamia nikapiga tukio huko si inakuwa kamserereko kakiaina ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…