Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Kuna sista yangu yupo Japan since 2003 to date, hakuna cha maana alichofanya. Anatufikirisha sana hatujui tatizo nini huko hafanyi mambo kabisa ni fashion/pamba kwa kwenda mbele.

Bado anadanga akipata wakuipiga mbususu yake mafao mtayaona
 
unakunya na kulala hapo hapo??
Mavi haayakunukii??

Huoni mateso,,
 
Embu nikuukize iyo nchi nayo ni zile zinazo kumbatia Ushogacracy ? Kama ndiyo nakushauri utoke
 
Kiwango Cha chini kwa siku unaweza kutumia shilingi ngapi ya kitanzania kwenye chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…