Unaposhambuliwa na inflammation in internal organs huweza kuleta maumivu maeneo ya mgongo mf. Figo inpopata inflammation eneo la chini la mgongo laweza kuhisi maumivu ilikukupa taarifa/ symptoms hivyohivyo kwa mapafu au moyo huleta maumivu eneo Fulani la mgongo.
Ingawa pia kunaweza kuhitaji uchunguzi zaidi ilikubaini maumivu hayo yapo kwenye misuli au ni kwenye mifupa.
Hapo unaweza kumu examine mgonjwa iliujue ni tension ya misuli au la.
Pia unaweza muuliza juu ya dalili nyingine ambazo zinaweza kulink na ugonjwa au vipimo vingine viusike.