Back to Back ya Ali Kiba muathirika ni Harmonize

Back to Back ya Ali Kiba muathirika ni Harmonize

Njoo tena uongee huo utopolo hapa, views za kushindilia watu kwenye chumba na mitecno , zko wap sasa
Povu la nini ? Ngoja ifike usiku ndio zitapanda tena kama za Anjela tunawakimbiza na 1m, audio tu 🤣
 
Sasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.

Haya Boomplay uliowataka hao hapo ,kwa siku ya jana tu.
View attachment 1831069

KWIN kalalamika wapi? Lavalava hapewi sapoti kama ipi, au labda huko kwenu kuna wasanii wanaopewa saport zaini ya KWIN na Lavalava,ambao wapo mbali zaidi ya KWIN na Lavalava.

Mimi ninekuuliza mbona KILLY wa Konde Gang siku hizi umemchunia................

Usiwe mkali acha namba ziongee.
Hiyo umeiokota wapi au ni zile za kutengeneza, maana wachafu wa roho mmejipanga kuanzia mtandaoni mpaka kwa waganga
Screenshot_20210626-185946.jpg
 
Sasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.

Haya Boomplay uliowataka hao hapo ,kwa siku ya jana tu.
View attachment 1831069

KWIN kalalamika wapi? Lavalava hapewi sapoti kama ipi, au labda huko kwenu kuna wasanii wanaopewa saport zaini ya KWIN na Lavalava,ambao wapo mbali zaidi ya KWIN na Lavalava.

Mimi ninekuuliza mbona KILLY wa Konde Gang siku hizi umemchunia................

Usiwe mkali acha namba ziongee.
Kakichaka ka karanga kanakuumbua

Sadala anakimbiza All digtal platforms au siyo? Ahaha team wachafu wa roho mna tabu kweli
IMG_20210626_232206.jpg
 
Hiyo umeiokota wapi au ni zile za kutengeneza, maana wachafu wa roho mmejipanga kuanzia mtandaoni mpaka kwa wagangaView attachment 1831306
Yale yale hata kichwa cha habari hujasoma. Hiyo ukiyoiweka ni chat ya wiki na nyimbo ya Diamond tokea itoke haijatimiza wiki ina siku moja na hii chini ni chat ya leo tar 26,so tokea Kamata itoke yaani jana mpaka leo ndiyo iliyo ongozwa kusikilizwa.
Screenshot_20210626-194936_Instagram~2.jpg
 
Back
Top Bottom