Povu la nini ? Ngoja ifike usiku ndio zitapanda tena kama za Anjela tunawakimbiza na 1m, audio tu 🤣Njoo tena uongee huo utopolo hapa, views za kushindilia watu kwenye chumba na mitecno , zko wap sasa
Tuliza kinyesi mzeePovu la nini ? Ngoja ifike usiku ndio zitapanda tena kama za Anjela tunawakimbiza na 1m, audio tu 🤣
Mmakonde anaumbukaNjoo tena uongee huo utopolo hapa, views za kushindilia watu kwenye chumba na mitecno , zko wap sasa
Hiyo umeiokota wapi au ni zile za kutengeneza, maana wachafu wa roho mmejipanga kuanzia mtandaoni mpaka kwa wagangaSasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.
Haya Boomplay uliowataka hao hapo ,kwa siku ya jana tu.
View attachment 1831069
KWIN kalalamika wapi? Lavalava hapewi sapoti kama ipi, au labda huko kwenu kuna wasanii wanaopewa saport zaini ya KWIN na Lavalava,ambao wapo mbali zaidi ya KWIN na Lavalava.
Mimi ninekuuliza mbona KILLY wa Konde Gang siku hizi umemchunia................
Usiwe mkali acha namba ziongee.
Kakichaka ka karanga kanakuumbuaSasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.
Haya Boomplay uliowataka hao hapo ,kwa siku ya jana tu.
View attachment 1831069
KWIN kalalamika wapi? Lavalava hapewi sapoti kama ipi, au labda huko kwenu kuna wasanii wanaopewa saport zaini ya KWIN na Lavalava,ambao wapo mbali zaidi ya KWIN na Lavalava.
Mimi ninekuuliza mbona KILLY wa Konde Gang siku hizi umemchunia................
Usiwe mkali acha namba ziongee.
Yale yale hata kichwa cha habari hujasoma. Hiyo ukiyoiweka ni chat ya wiki na nyimbo ya Diamond tokea itoke haijatimiza wiki ina siku moja na hii chini ni chat ya leo tar 26,so tokea Kamata itoke yaani jana mpaka leo ndiyo iliyo ongozwa kusikilizwa.Hiyo umeiokota wapi au ni zile za kutengeneza, maana wachafu wa roho mmejipanga kuanzia mtandaoni mpaka kwa wagangaView attachment 1831306
Hiyo ya lini?Kakichaka ka karanga kanakuumbua
Sadala anakimbiza All digtal platforms au siyo? Ahaha team wachafu wa roho mna tabu kweliView attachment 1831312
Shamba la viewers 😂😂Njoo tena uongee huo utopolo hapa, views za kushindilia watu kwenye chumba na mitecno , zko wap sasa