Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Aisee
 
•••[emoji777]|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO

- Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho) yakaondolewa.

- Sababu kubwa ameeleza kuwa ni wingi wa michuano inayosimamiwa na Shirikisho hilo huku hayaingizi fedha ya kutosha.

Why nimeitaja Simba hapo juu
Kwasababu msimu huu Kuna upinzani mkali kwenye Ligue hasa kwenye nafasi ya pili na tatu

Inajulikana ubingwa utabebwa na Yanga ...then nafasi ya pili Kwa Azam na ndio watakaoenda CAF champions Sasa Simba itakuaje?????

NB: Au tuendelee kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi cup mwakani??View attachment 2870385
Wangeanza kufuta mashindano ya supercup, tena haya yaliidhalilisha nchi, yaani Simba alianzia robo fainali na akatoka hapo hapo kweli robofainali.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20231213-184539_Chrome.jpg
 
Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom