Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Ahaa, sawa. Ila siku nyingine uwe unatuaga basiBaba Ako mdogo alinihitaji nimpe haki yake ya ndoa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa, sawa. Ila siku nyingine uwe unatuaga basiBaba Ako mdogo alinihitaji nimpe haki yake ya ndoa mkuu
Ubongo wake Una kuvu (fangasi).
Nani mkubwa hapa?Sasa kama nyie Mabingwa wa Africa tumewapiga 5G ulitegemea nini kwa Rivers United?
Alie pigwa 5Nani mkubwa hapa?View attachment 2870450
Tatizo ni lack of kibunda....( Financial musclesCAF jinga sana badala ya kuboresha mashindano kwa kuongeza hata michuano mingine midogo ili pia team ndogo ambazo hazipati nafasi club bingwa zicheze Kama ilivokua kwa UEFA conference league Bado wanapunguzu hiyo michache iliyokuepo.
Kivipi mkubwa apigwe 5 na mdogo?Alie pigwa 5
Tatizo lao michuano hawajaifanya kua ya wazi ndio maana hata mafadhili wanakosekana.Tatizo ni lack of kibunda....( Financial muscles
Hata kama hoja yakp ina ukweli lakini anaeenda kuathirika zaidi ni simba maana uyo yanga bado ataendelea kuchukua ubingwa mfululizo kwa miaka mingi tu hapa bongo lakini simba kuingia top 2 kwa sasa ni mtihani, azam anazidi kuimarika hata singida wakiacha utoto wanaweza kabisa kumaliza ligi mbele ya simbaNdio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.
Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.
Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.
Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.
Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.
CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.
Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
MAUMI FC hawana akili•••[emoji777]|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO
- Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho) yakaondolewa.
- Sababu kubwa ameeleza kuwa ni wingi wa michuano inayosimamiwa na Shirikisho hilo huku hayaingizi fedha ya kutosha.
Why nimeitaja Simba hapo juu
Kwasababu msimu huu Kuna upinzani mkali kwenye Ligue hasa kwenye nafasi ya pili na tatu
Inajulikana ubingwa utabebwa na Yanga ...then nafasi ya pili Kwa Azam na ndio watakaoenda CAF champions Sasa Simba itakuaje?????
NB: Au tuendelee kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi cup mwakani??View attachment 2870385
Mwanzo nilijuaga zile story kuhusu Alinacha ni uongo ila mpaka niliposoma hii comment yakoHata kama hoja yakp ina ukweli lakini anaeenda kuathirika zaidi ni simba maana uyo yanga bado ataendelea kuchukua ubingwa mfululizo kwa miaka mingi tu hapa bongo lakini simba kuingia top 2 kwa sasa ni mtihani, azam anazidi kuimarika hata singida wakiacha utoto wanaweza kabisa kumaliza ligi mbele ya simba
Watashiriki Kombe la Mapinduzi na mashindano mengine ya ndondo cup.•••[emoji777]|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO
- Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho) yakaondolewa.
- Sababu kubwa ameeleza kuwa ni wingi wa michuano inayosimamiwa na Shirikisho hilo huku hayaingizi fedha ya kutosha.
Why nimeitaja Simba hapo juu
Kwasababu msimu huu Kuna upinzani mkali kwenye Ligue hasa kwenye nafasi ya pili na tatu
Inajulikana ubingwa utabebwa na Yanga ...then nafasi ya pili Kwa Azam na ndio watakaoenda CAF champions Sasa Simba itakuaje?????
NB: Au tuendelee kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi cup mwakani??View attachment 2870385
We ndio mwenye mapenzi na Simba?Una chuki na Yanga kupita maelezo, kwani hao Yanga na Marumo walifika level za juu kwa shortcut au kufunga timu zingine? Anaenda mbele kwa kuifunga timu zingine inamaana uwezo wake ni mkubwa. Pyramid alitolewa, Berkane alitolewa, Tp Mazembe alitolewa ni kwasababu waliowatoa mashindanoni kawa bora dhidi ya hao. Achana na mpira wa kukariri majina tu makubwa ya timu.
Sawa tutakutana hapa mwisho wa msimuMwanzo nilijuaga zile story kuhusu Alinacha ni uongo ila mpaka niliposoma hii comment yako
KabisaHata kama hoja yakp ina ukweli lakini anaeenda kuathirika zaidi ni simba maana uyo yanga bado ataendelea kuchukua ubingwa mfululizo kwa miaka mingi tu hapa bongo lakini simba kuingia top 2 kwa sasa ni mtihani, azam anazidi kuimarika hata singida wakiacha utoto wanaweza kabisa kumaliza ligi mbele ya simba