Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Unajua nafasi nne zinatoa wawikilishi kwenye michuano ya kimataifa zimetokana na ushiriki wa simba na point zake.
 
Una chuki na Yanga kupita maelezo, kwani hao Yanga na Marumo walifika level za juu kwa shortcut au kufunga timu zingine? Anaenda mbele kwa kuifunga timu zingine inamaana uwezo wake ni mkubwa. Pyramid alitolewa, Berkane alitolewa, Tp Mazembe alitolewa ni kwasababu waliowatoa mashindanoni kawa bora dhidi ya hao. Achana na mpira wa kukariri majina tu makubwa ya timu.
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
 
Huyo ana homa ya manjano tangu apigwe [emoji2772] akili zimeruka bingwa wa shirikisho ndio bingwa wa super cup misimu miwili mfurulizo mtu ana kandia shirikisho huku wanakomaa na Mapinduzi tena kwa kubebwa
 
Unajua nafasi nne zinatoa wawikilishi kwenye michuano ya kimataifa zimetokana na ushiriki wa simba na point zake.
Hapana mkuu....ni jumla ya point za timu zote Yanga namungo....Simba na.....
 
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?
 
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
Sababu ni kuwa CAF inaendesha michuano mingi....hivyo running cost ni kubwa kuliko faida
 
Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Maneno mengi wakati timu yako hata nusu fainali ya confederation haijawahi kufika. Kibaya zaidi ni kuwa kama hilo likifutwa basi makolo msahau kuhusu michuano ya kimataifa.

Then utambue kuwa USMA aliyeshinda Caf confederation alicheza na mshindi wa Caf Champs, USMA akashinda lakini kolo umepindisha shingo hutaki kuelewa kama shoga aliyenogewa.
 
Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?
Challenge ilionekana , hakukuwa na timu iliyokuwa inajitafuta kushuka daraja.

Bahati haikuamua matokeo, bahati haikuamua kwenye plots.

Nyinyi mlipopangwa na Rivers mkapiga vigelegele. Juzi mlipopangwa na Al Ahly hatukusikia vigelegele zaidi ya kuona mmekuwa wakimya kama wakiwa
 
Simba hata wasipochukua ubingwa mwakani watakuwepo tena kwenye CAF Champions League kama ulikuwa hujui. Mwakani zitaenda timu nne

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu....lkn Simba kwenye hili kombe la shirikisho...tulihinga Hadi marefa

Baada ya kuona pia ngoma ngumu...tulienda kuroga uwanjani kule sauzi ....Kwa kuchoma dawa uwanjani....
Kipindi hicho mashindano hayo yalikuwa na mvuto sana, lakini baada ya kuingia Yanga na Marumo yakawa ni kama mashindano ya kutafuta Miss Tanzania

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom