Hatugombani
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,142
- 805
Ngoja tusubiri kiongozi
Kwa Simba hii....Kuna mechi nyingi za mikoani...atafondosha point...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Simba hii....Kuna mechi nyingi za mikoani...atafondosha point...
Hakukuwa na real challengeUna chuki na Yanga kupita maelezo, kwani hao Yanga na Marumo walifika level za juu kwa shortcut au kufunga timu zingine? Anaenda mbele kwa kuifunga timu zingine inamaana uwezo wake ni mkubwa. Pyramid alitolewa, Berkane alitolewa, Tp Mazembe alitolewa ni kwasababu waliowatoa mashindanoni kawa bora dhidi ya hao. Achana na mpira wa kukariri majina tu makubwa ya timu.
Ndio mama wa timu mbovuVipi Ile ilikula mnara [emoji113]
Huyo ana homa ya manjano tangu apigwe [emoji2772] akili zimeruka bingwa wa shirikisho ndio bingwa wa super cup misimu miwili mfurulizo mtu ana kandia shirikisho huku wanakomaa na Mapinduzi tena kwa kubebwaUna chuki na Yanga kupita maelezo, kwani hao Yanga na Marumo walifika level za juu kwa shortcut au kufunga timu zingine? Anaenda mbele kwa kuifunga timu zingine inamaana uwezo wake ni mkubwa. Pyramid alitolewa, Berkane alitolewa, Tp Mazembe alitolewa ni kwasababu waliowatoa mashindanoni kawa bora dhidi ya hao. Achana na mpira wa kukariri majina tu makubwa ya timu.
Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?Hakukuwa na real challenge
Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
Maneno mengi wakati timu yako hata nusu fainali ya confederation haijawahi kufika. Kibaya zaidi ni kuwa kama hilo likifutwa basi makolo msahau kuhusu michuano ya kimataifa.Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.
Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.
Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.
Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.
Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.
CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.
Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Challenge ilionekana , hakukuwa na timu iliyokuwa inajitafuta kushuka daraja.Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?
Michuano mingi ipiSababu ni kuwa CAF inaendesha michuano mingi....hivyo running cost ni kubwa kuliko faida
Kipindi hicho mashindano hayo yalikuwa na mvuto sana, lakini baada ya kuingia Yanga na Marumo yakawa ni kama mashindano ya kutafuta Miss TanzaniaMkuu....lkn Simba kwenye hili kombe la shirikisho...tulihinga Hadi marefa
Baada ya kuona pia ngoma ngumu...tulienda kuroga uwanjani kule sauzi ....Kwa kuchoma dawa uwanjani....
Tuombee iwe hivyo mkuuSimba hata wasipochukua ubingwa mwakani watakuwepo tena kwenye CAF Champions League kama ulikuwa hujui. Mwakani zitaenda timu nne
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app