njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana
Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi zao haziwezi kupata nafasi ya klabu bingwa kwa harakaharaka ni Berkane, Orlando pirates, Pyramids , hadi hapo tuko nje ya teams kumi labda kama etoile du sahel huko tunisia hataenda klabu bingwa which is very unlikely
Ila kwa zone ya cecafa bado simba ni ya kwanza : Teams bora 5 kwa zone ya cecafa huku nafasi zao kwa level ya afrika zikiwa kwenye mabano
1:simba (14)
2:Gor mahia(41)
3: Namungo(56)
4:Kcca(56)
5:Rayon(56)