Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Sasa hapo ndo atazidishaa..!! Ukweli mchunguu... Dogo janja awew.mpolee tuu hakuna cha sunaa wala nin apambane na jimama lakee
 
Soudy huwa ananifurahisha sana, binafsi nampenda sana...
Yes true, mimi sioni tatizo naye kabisa maana ni entertainment business anafanya na kipindi chake ni Gossips wazi tu sio kwamba anamteta mtu kwa siri. unaweza kuwa mbea lakini usijue kufikisha umbea ila jamaa anafikisha in funny way. mimi sioni kama kuna tatizo its all about entertainment business.
 
Wote wamekosa la kufanya. Hamna sababu ya kubishana mitandaoni ,wao ni mwanaume bwana...kwani wakikaa kimya kinapungua nini

Nadhani Kwa Soudy brown haina Shida sana as long as ni kazi yake ambayo inampatia ugali wake wa kila siku Mkuu, ila huyo Bwana harusi nadhani angepaswa kupotezea tu nadhani saizi majukumu yameongezeka, kumuongeza na soudy ni kupoteza muda tu.
 
Mi nawashangaa hata wanaichukiaga umbea wa soudy, mi naonaga kama anachekesha tu
 

Yaaah for sure.
 
Hamna mmbea asiyempenda soudy[emoji28][emoji28]
Raisi wetu ha ha ha
Soudy anafurahisha, afu hata akitolewa povu ye huwa yupo kawaida, kuna siku mbasha alitoka povu anamind akamuuliza soudy unanifatilia sana hauna dada yako nimuoe, soudy akajibu sina nna mdogo wangu nlicheka mie yani mbasha yuko moto soudy walaaa
 

Hahaha soudy anaipenda kazi yake wallahi, yupo radhi aifanye hata buree, umbea upo damuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…