rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Sasa hapo ndo atazidishaa..!! Ukweli mchunguu... Dogo janja awew.mpolee tuu hakuna cha sunaa wala nin apambane na jimama lakeeKwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.