Sijui yupo wapi jamani, yule ni soudy wa jf...[emoji23][emoji23]Warumi yupo jamani?? Simuoni siku hizi.
Aisee noma sanaMiaka michache iliyopita Mkuu, mcheki janjaro utaweza kukadilia ilikuwa mwaka gani hapo.
Kwani ye anamwambia privateSasa si angemwambia private
Unahisi hiyo ni sahihi ama ndo kuwapa headline hao cloudsNaona Dogo janja ameamua nyimbo zake kutopigwa na clouds Sasa!
Promo ambayo huwa wanamfanyia Sasa ndo itakuwa mwisho......
time will tell
Namjua Soudy brown kitambo mkuu, hii na kwa wenzetu wasiomfahamu, uwe na mchana mwema.
We ndo unamuogopa soudybrown wanaomjua hawana mda wa kumgwayaHaikuwa na lazima kufanya alichokifanya , angeweza pia kukausha na mambo yakaisha...huwezi kushindana na soudy brown
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Yan nimecheka sanaIrene alisema hii sio account yake ya facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wana maneno eti gololi zinagonga chuma.
Sijui yupo wapi jamani, yule ni soudy wa jf...
Sitasahu siku aliyoenda kulala msibani ili atafute umbea (msiba wa Adam kuambiana) aliitafuta nyumba ya msiba hadi akapata...
Siku nyingine anasema kaenda nyumbani kwa wema kuwachungulia dirishani wema na diamond ha ha ha
Alinivunja mbavu, siku kakasirika kwamba anatembea umbali anatutafutia umbea, mara nyingine anatumia hadi nauli zake kutafuta umbea afu akiuletaa jf watu wanamsema muongo, eti tunamsikitisha sana ha ha ha
Huu umbea ipo siku atapigwa bastola ya mdomo! alafu mbona ushenzi wake haongeagi kutwa kuwasema wengine mfyuuu!
Sio sahihi! ila duniani huwa tunasema mwenye nguvu mpishe!Unahisi hiyo ni sahihi ama ndo kuwapa headline hao clouds
Sasa kaka huo ndo uoga wa watu kutojua haki zao hata ulaya magazeti na gossiping news watu huwa wanaanglia cha kuweka sivyo fidia mahakamani inakuhusu kuhusu dogo janja kuoa ni ishu personal sana ila alivyoivhukulia huyu jamaa ndo kama gap ya kumdhalilishaSio sahihi! ila duniani huwa tunasema mwenye nguvu mpishe!
Hao Jamaa attacking yoyote kwa mmoja wao huwa wanaichukulia personal sana!
Hata ruby kukataa malipo duni alikuwa sahihi ila nini kilitokea?
Na mifano mingine Mingi......
ulishawahi jiuliza kwanini kwenye U heard wasanii huwa hawajibu hovyo licha ya kuulizwa maswala personal??