Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

[emoji23][emoji23]Warumi yupo jamani?? Simuoni siku hizi.
Sijui yupo wapi jamani, yule ni soudy wa jf...
Sitasahu siku aliyoenda kulala msibani ili atafute umbea (msiba wa Adam kuambiana) aliitafuta nyumba ya msiba hadi akapata...

Siku nyingine anasema kaenda nyumbani kwa wema kuwachungulia dirishani wema na diamond ha ha ha

Alinivunja mbavu, siku kakasirika kwamba anatembea umbali anatutafutia umbea, mara nyingine anatumia hadi nauli zake kutafuta umbea afu akiuletaa jf watu wanamsema muongo, eti tunamsikitisha sana ha ha ha
 
Huu umbea ipo siku atapigwa bastola ya mdomo! alafu mbona ushenzi wake haongeagi kutwa kuwasema wengine mfyuuu!
 
Irene alisema hii sio account yake ya facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wana maneno eti gololi zinagonga chuma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Yan nimecheka sana
 
Duu dogo kweli kachukia hiyo [HASHTAG]#KLMY[/HASHTAG] ni ngumi ya chini ya mkanda
 
Sijui yupo wapi jamani, yule ni soudy wa jf...
Sitasahu siku aliyoenda kulala msibani ili atafute umbea (msiba wa Adam kuambiana) aliitafuta nyumba ya msiba hadi akapata...

Siku nyingine anasema kaenda nyumbani kwa wema kuwachungulia dirishani wema na diamond ha ha ha

Alinivunja mbavu, siku kakasirika kwamba anatembea umbali anatutafutia umbea, mara nyingine anatumia hadi nauli zake kutafuta umbea afu akiuletaa jf watu wanamsema muongo, eti tunamsikitisha sana ha ha ha

Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namgawa bureee, sio kwa umbea huo, apewe kipindi na soudy brown.
 
Huu umbea ipo siku atapigwa bastola ya mdomo! alafu mbona ushenzi wake haongeagi kutwa kuwasema wengine mfyuuu!

Heheh mkuu relax kwanza, huyu Soudy brown sio wa kumchukulia serious atakuumiza akili bure though umeongea ukweli siku atakutana na wendawazimu watamfanya vibaya , swali ni moja upo tayari kwenda jela/kupoteza muda, pesa zako kisa soudy brown?? Jibu ni NO , ndomana nasema ukimchukulia serious soudy utaumia wewe.
 
Unahisi hiyo ni sahihi ama ndo kuwapa headline hao clouds
Sio sahihi! ila duniani huwa tunasema mwenye nguvu mpishe!
Hao Jamaa attacking yoyote kwa mmoja wao huwa wanaichukulia personal sana!

Hata ruby kukataa malipo duni alikuwa sahihi ila nini kilitokea?
Na mifano mingine Mingi......

ulishawahi jiuliza kwanini kwenye U heard wasanii huwa hawajibu hovyo licha ya kuulizwa maswala personal??
 
Sasa kaka huo ndo uoga wa watu kutojua haki zao hata ulaya magazeti na gossiping news watu huwa wanaanglia cha kuweka sivyo fidia mahakamani inakuhusu kuhusu dogo janja kuoa ni ishu personal sana ila alivyoivhukulia huyu jamaa ndo kama gap ya kumdhalilisha

Pili kuhusu nguvu ya hao watu siku hizi siyo nguvu tena kwa watu wenye akili internet media na njia ni nyingi za kupata kipato na publicity its just creativity wakati radio one na clouds wanafanya huo ukiritimba kumbuka kulikuwa na radio mbili tu sasa hivi kila mkoa kuna radio msiwafundishe wasanii kuwa waoga kusimamia haki zao
 
Back
Top Bottom