Badala ya Bunge kuturundikia tozo lijikite kudhibiti wizi wa mabilioni kwani Mafisadi wamo miongoni mwao

Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG

Naona Tozo sasa ni Sawa na Kunguru wa Zanzibar

Ramadan kareem!
Sisi kama chama tawala hatuna huo utaratib wa kudhibiti ufisadi! Hayo ndo maisha yetu daily. Hivyo nizuri uache chokochoko!!
 
Kwanza hakuna bunge livunjwe sababu limeshindwa kuisimamia serikali kazi ni kulipana posho na kuiba pesa za umma.
 
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG

Naona Tozo sasa ni Sawa na Kunguru wa Zanzibar

Ramadan kareem!
BUNGE LA RANGI MOJA HALIWEZI KUWABANA WENZAO WACHA WAPIGE PESA MAADAMU HAWAENDI NAZO MBINGUNI
 
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG

Naona Tozo sasa ni Sawa na Kunguru wa Zanzibar

Ramadan kareem!
Umechelewa kulijua hilo, Kila kitu mlikuwa mnashangilia hata zilipopitishwa mlifikir zitawaathiri wapizani pumbavu zenu!!
 
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG

Naona Tozo sasa ni Sawa na Kunguru wa Zanzibar

Ramadan kareem!
Kuna tofauti kati ya Bunge na Bonge
 
Back
Top Bottom