Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Ni vigumu ku focus kwenye mambo matatu kwa wakati mmoja,kwa sasa wanajiandaa kwa:Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo...
Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa kuliko cecafa?
Kama Tatizo ni ufinyu wa muda/ ratiba...Kwanini wasipeleke junior squads.
Hizi timu zina wachezaji wa U-20.....lakini pia zina wachezaji ambao hawakutumika kikamilifu kwenye msimu uliomalizika.
Kwanini wasingepeleka wale unused substitutes... kama akina Abtwalib Msheli & etc wakiungana pamoja na wale U-20 kuliko kuacha kabisa.
Haya mambo yanawezekana under smart technical director.
Kuna kitu nimekifurahia sana kinachofanywa na baadhi ya vilabu vya ulaya.....Wanakuwa na timu A, B, sometimes hadi C..na zote zipo kwny ligi tofauti tofauti za ngazi tofauti....nchi hiyohiyo.
Mfano pale ureno, ipo Fc Porto unayoijua wewe, ipo ligi kuu...Hapohapo ipo Fc porto B...hii ipo championship ya palepale ureno,
Ipo Fc porto C, yenyewe ipo third tie..daraja la 3.
Hizo Porto 1,2,3 zipo chini ya umiliki mmoja na kiuhalisia timu ni ileile ila wachezaji wanaweza kutumika interchangeably...ila hizo Porto 2&3 zimetengenezewa kanuni ya kutopanda daraja isipokuwa kushuka.
Faida yake ni kwamba timu inaweza kuteremka dimbani mara 2 ama zaidi katika viwanja tofauti tofauti siku hiyohiyo...
Faida nyingine inawahakikishia wachezaji wote kutumika...
Farid Mussa aliwahi kusajiriwa na CD Teneriffe kule Spain....baada ya kiwango chake kutowaridhisha ilibidi ahamishiwe Tenerife 2 ambayo nayo ilikuwa ndani ya ligi fulani hukohuko Spain.
Huu mfumo ungekuwepo Tanzania.. ungeleta tija kamahv timu hazishiriki wakati zimejaza wachezaji wasiopata nafas ya kutumika hadi msimu unaisha.
Una hoja ila Simba ikifungwa goli 10 na Yanga huko CECAFA, rekodi itawekwa milele, hakuna atakayesema walifungwa kwa sababu kipa alikuwa Mzamiru na striker Chasambi.Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo...
Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa kuliko cecafa?
Kama Tatizo ni ufinyu wa muda/ ratiba...Kwanini wasipeleke junior squads.
Hizi timu zina wachezaji wa U-20.....lakini pia zina wachezaji ambao hawakutumika kikamilifu kwenye msimu uliomalizika.
Kwanini wasingepeleka wale unused substitutes... kama akina Abtwalib Msheli & etc wakiungana pamoja na wale U-20 kuliko kuacha kabisa.
Haya mambo yanawezekana under smart technical director.
Kuna kitu nimekifurahia sana kinachofanywa na baadhi ya vilabu vya ulaya.....Wanakuwa na timu A, B, sometimes hadi C..na zote zipo kwny ligi tofauti tofauti za ngazi tofauti....nchi hiyohiyo.
Mfano pale ureno, ipo Fc Porto unayoijua wewe, ipo ligi kuu...Hapohapo ipo Fc porto B...hii ipo championship ya palepale ureno,
Ipo Fc porto C, yenyewe ipo third tie..daraja la 3.
Hizo Porto 1,2,3 zipo chini ya umiliki mmoja na kiuhalisia timu ni ileile ila wachezaji wanaweza kutumika interchangeably...ila hizo Porto 2&3 zimetengenezewa kanuni ya kutopanda daraja isipokuwa kushuka.
Faida yake ni kwamba timu inaweza kuteremka dimbani mara 2 ama zaidi katika viwanja tofauti tofauti siku hiyohiyo...
Faida nyingine inawahakikishia wachezaji wote kutumika...
Farid Mussa aliwahi kusajiriwa na CD Teneriffe kule Spain....baada ya kiwango chake kutowaridhisha ilibidi ahamishiwe Tenerife 2 ambayo nayo ilikuwa ndani ya ligi fulani hukohuko Spain.
Huu mfumo ungekuwepo Tanzania.. ungeleta tija kamahv timu hazishiriki wakati zimejaza wachezaji wasiopata nafas ya kutumika hadi msimu unaisha.
Ama timu za vijanaNaona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo...

Mbona BafanaBafana iliyokuja CHAN sio ilee.Ukipeleka timu za vijana kwenye mashindano ya CECAFA inaoneka umedharau michuano
Kule kwa wenzetu mbona wamewezaNi vigumu ku focus kwenye mambo matatu kwa wakati mmoja,kwa sasa wanajiandaa kwa:
1.nbc premier league
2.ubingwa wa timu za wanawake
3.ni ngumu kuandaa timu ya vijana kushiriki kagame cup
Ivi kwanini wale jamaa walifanya vile,?Mbona BafanaBafana iliyokuja CHAN sio ilee.
Mo dewji aliwahi kusikika akitaka kununua timu championship...sijui mpango ullishia wapi....nayo ingeitwa Simba pia.Una hoja ila Simba ikifungwa goli 10 na Yanga huko CECAFA, rekodi itawekwa milele, hakuna atakayesema walifungwa kwa sababu kipa alikuwa Mzamiru na striker Chasambi.
Hoja yako ninayoikubali na ambayo nami nimewahi kuifikiria ni kuangalia jinsi ya kuwapa wachezaji wasiotumika mara kwa mara mechi za ushindani katika ligi za chini au za vijana.
Nadhani kanuni iwepo itakayoruhusu timu za Championship kutumia wachezaji wa ligi kuu kwa muda fulani mfupi, mfano kwa mwezi mmoja na haiwezi kutumia zaidi ya mchezaji mmoja au wawili ndani ya kipindi hicho. Na wanaweza kuongeza kwamba mchezaji anayeruhusiwa ni yule ambaye hajacheza mechi kadhaa (mfano 5) za mwisho za timu yake ya ligi kuu.
Bwanaee sijui waliwaza nini tu.Ivi kwanini wale jamaa walifanya vile,?
Ni kweli mzee,Bwanaee sijui waliwaza nini tu.
Hata hivyo kama sio Arajiga kuwabeba uganda wangefika robo fainali
Hilo ni jina tu braza.Una hoja ila Simba ikifungwa goli 10 na Yanga huko CECAFA, rekodi itawekwa milele, hakuna atakayesema walifungwa kwa sababu kipa alikuwa Mzamiru na striker Chasambi.
Hoja yako ninayoikubali na ambayo nami nimewahi kuifikiria ni kuangalia jinsi ya kuwapa wachezaji wasiotumika mara kwa mara mechi za ushindani katika ligi za chini au za vijana.
Nadhani kanuni iwepo itakayoruhusu timu za Championship kutumia wachezaji wa ligi kuu kwa muda fulani mfupi, mfano kwa mwezi mmoja na haiwezi kutumia zaidi ya mchezaji mmoja au wawili ndani ya kipindi hicho. Na wanaweza kuongeza kwamba mchezaji anayeruhusiwa ni yule ambaye hajacheza mechi kadhaa (mfano 5) za mwisho za timu yake ya ligi kuu.
Mkuu wabongo unawajua lakini? Wewe hauoni huko Mapinduzi Cup au kombe la Muungano jinsi wanavyokwepana kila mwaka? Hatujafika hatua ya kuona mechi ya Simba na Yanga kama ni mechi ya kawaida.Hilo ni jina tu braza.
Kama shida ni jina la Simba kudharirishwa, Simba zipo hata nchi nyingine.
1. Simba (Tanzania)
2. Simba (Uganda)
3. Simba ( DRC)
4. Simba bora (Zimbabwe)
5. Small Simba ( Zenji)
1. Young Africans ( Tanzania)
2. Young Africans (Namibia)
Siyo wazo baya ila ina maana hiyo timu inaweza kupanda daraja hadi ligi kuu kwa kanuni za sasa?Mo dewji aliwahi kusikika akitaka kununua timu championship...sijui mpango ullishia wapi....nayo ingeitwa Simba pia.
Nimecheka mpaka machozi yametoka kama ya Lucas. Kwamba mnakula 8 aibu kwa timu mzimaUnapeleka kikosi b unakutana na Apr kikosi chenyewe .mnakula 8 .aibu ni kwa timu nzima bila kujali kikosi mlichopeleka.ila una hoja nzuri
Ligi yao ni boraBwanaee sijui waliwaza nini tu.
Hata hivyo kama sio Arajiga kuwabeba uganda wangefika robo fainali
Unapeleka timu B, na haya Mashindano wamegeyatumia kama sehemu ya Maandalizi na kuonyesha Wachezaji vijana, Viongozi wetu wajinga sana na hawajifunzi kupitia timu za Ulaya, Timu zote za Ulaya kabla ta ligi kuanza zilicheza mechi nyingi za kirafiki utakuta kwa siku Liverpool walicheza mechi mara mbili mechi ya kwanza walicheza wachezaji wa kikosi B na wakachanganywa na vijana na mechi ya pili ndiyo wakacheza wazoefu wakina MO Sala, Tatizo la timu zetu hawana timu za vijana.Ukipeleka timu za vijana kwenye mashindano ya CECAFA inaoneka umedharau michuano
Simba na Yanga zinapeleka vikosi Mapinduzi Cup siyo kwa sababu wanapenda, bali wanafosiwa na Wanasiasa. Hii nchi jitahidi usiwaudhi Wanasiasa wa Chama Cha kijani kama unataka uwe salama.Mashindano mengi huwatoa wachezaji kwenye focus,focus za Yanga,Simba na Azam ni CAFCL&CAFCC, NBC PL na CRDB FA CUP. Kwa nini hawa Yanga Simba & Azam huwa wanapeleka timu Mapinduzi cup tena katikati ya msimu na mpunga ni kiduchu ni kwamba mashindano hayo yapo kisiasa,usipopeleka timu kuna mahala utakipata cha mtema kuni kwa hiyo ni lazima upeleke tu.