Badala ya kununua Helikopta za kisasa za kuzimia moto wao wananunua za kufanyia doria

Badala ya kununua Helikopta za kisasa za kuzimia moto wao wananunua za kufanyia doria

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Doria ya nini? Hakuna majibu. Nasikia Hekkopta za kijeshi zinafanya doria miji mikubwa kama Arusha na mingineyo.

Kwa nini wasinunue helkopta kama hizi ili kuzima moto kwenye majanga makub2a kama huko mlima Hanang ?
 
Usalama ni muhimu pia au sio?
 
Ngoja niwatetee😀Kwan bro hizo unazoziona ni zimenunuliwa Jana au Leo? Possibility ni za miaka mingi now zimetolewa parking zimeingia mtaani. Halafu pia helicopter na ndege kiujumla sio Sawa na gari, ukihitaji ndege ya Aina Fulani kwa kazi Fulani ni lazima Kwanza uwarudishe shule marubani kwa miez michache kusomea mifumo hiyo mipya kwao, halafu ndo unaagiza sasa hiyo ndege. Dereva wa IST huwez kuuziwa Ferrari hata kama Una hela ya kuinunua. Lazima ukapigwe msasa Kwanza kuweza kuihandle.😄
 
Back
Top Bottom