Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Acha kutetea ujinga hapa
Usalama ni muhimu pia au sio?Doria ya nini? Hakuna majibu. Nasikia Hekkopta za kijeshi zinafanya doria miji mikubwa kama Arusha na mingineyo.
Kwa nini wasinunue helkopta kama hizi ili kuzima moto kwenye majanga makub2a kama huko mlima Hanang ?