Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Hahahahah hapo ndipo utapojua imani, upendo na miujiza ya mwingereza😅 picha linaanza mkeka kuuzima million 9 hapo ndipo unapoikuta renji ya 30M ikiuzwa million 9 kwa sossy magari

Hizi gari za ulaya zinazouzwa pesa mbuzi zingine zinakuwa na matatizo madogo tu...

Shida tu labda unakuta ilisharukaruka kwenye mikono ya mafundi... Hivyo waya nyingi zimekatwakatwa.
 
Hahah haiwezekani
Mbona kawaida tu, likisha kukuta janga kama hilo bora uende cmc ukafanye diagnosis halafu ndio ujue kama unanunua spare mwenyewe ukazifunge mtaani au unaliuza🤣

IMG_20211222_075229.jpg
 
Usiache kupitia huu uzi mtoa mada

 
Shida sio kuinunua,mzozo ni kuimaintain mkuu,kuna mwana yake ilipata ajali ndogo tu bampa la mbele na taa ya upande mmoja imepasuka kaletewa bili mil32

Kupanga ni kuchagua
Sure wengi hapa ichi ndo kinachoumiza kichwa siku ikikukuta na majukumu yalikuzidi umri je utalitoa ndani?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom