JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Tena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Hahah haiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Gari ya mwaka 2005, una maana ya chuma chakavu chenye miaka 16, kime enjoy sana life.
Hahahahah hapo ndipo utapojua imani, upendo na miujiza ya mwingereza😅 picha linaanza mkeka kuuzima million 9 hapo ndipo unapoikuta renji ya 30M ikiuzwa million 9 kwa sossy magari
Sossy Magari..Hahahahah hapo ndipo utapojua imani, upendo na miujiza ya mwingereza[emoji28] picha linaanza mkeka kuuzima million 9 hapo ndipo unapoikuta renji ya 30M ikiuzwa million 9 kwa sossy magari
Hahahah yeye ac unaganda tuSossy Magari..
Mzee wa AC unaganda na safari popote..
Hazifai hizoHizi gari za ulaya zinazouzwa pesa mbuzi zingine zinakuwa na matatizo madogo tu...
Shida tu labda unakuta ilisharukaruka kwenye mikono ya mafundi... Hivyo waya nyingi zimekatwakatwa.
Watakuwa washapata uzoefu zaidi! Kadri gari zenu walivyochezea zetu hawataharibuGari nyingi unazoziona road ni za 2001 mpaka 2005.
Baada ya kufika 2030 ndio gari nyingi zitakuwa za 2008 mpaka 2012. Wale mnaokimbia kiu za mafundi mnasubiriwa hapa.
Cc Extrovert
Pesa ikiwepo hamna gari mbaya ila kwa wenzangu wanaokopa ni ishuWe jitose weka spea og kiu ya fundi itapungua.
Kuna mmoja alikuwa anauza Audi A4 2.8m kwa Sossy Magari, unaambiwa inawaka lakini haisogei, imeua Gearbox🤣Hahahahah hapo ndipo utapojua imani, upendo na miujiza ya mwingereza😅 picha linaanza mkeka kuuzima million 9 hapo ndipo unapoikuta renji ya 30M ikiuzwa million 9 kwa sossy magari
Tatizo linaanziaga hapaSiku itakapozingua ukahitajika kwenda service ndipo utajua hujui[emoji4]
Mbona kawaida tu, likisha kukuta janga kama hilo bora uende cmc ukafanye diagnosis halafu ndio ujue kama unanunua spare mwenyewe ukazifunge mtaani au unaliuza🤣Hahah haiwezekani
Tunaita Christmas lightsTena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Hahahhahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Tunaita Christmas lights
Gari ya muzungu ikiwasha warning lights , uwe na pesa ya kutosha kwa ajili ya service
Hapa SASA utatengeza kipi na utaacha kipi? Maana hapa kilakitu ni kibovu.... hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaweza ukahisi gari limelogwaTena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
BwahahaaaaaaaaaaaaaaTena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Sure wengi hapa ichi ndo kinachoumiza kichwa siku ikikukuta na majukumu yalikuzidi umri je utalitoa ndani?Shida sio kuinunua,mzozo ni kuimaintain mkuu,kuna mwana yake ilipata ajali ndogo tu bampa la mbele na taa ya upande mmoja imepasuka kaletewa bili mil32
Kupanga ni kuchagua