toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Yaan dashboard inasoma kila kitu kwa wakati mmoja😄😄 Mti wa X-mas ulishawaka tayari hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan dashboard inasoma kila kitu kwa wakati mmoja😄😄 Mti wa X-mas ulishawaka tayari hapo.
Hayo ndio maajabu ya muingereza mkuu 😄😄Yaan dashboard inasoma kila kitu kwa wakati mmoja
Mbona kawaida tu, likisha kukuta janga kama hilo bora uende cmc ukafanye diagnosis halafu ndio ujue kama unanunua spare mwenyewe ukazifunge mtaani au unaliuza🤣
View attachment 2053067
Kaizen masters hao,weka mbali na watotoHakuna kama Land cruiser V8 kamanda, mjapan achananae aise
daaah hatariHayo ndio maajabu ya muingereza mkuu 😄😄
Ni bora ufanye diagnosis CMC update fault zote na ujue gharama ya genuine parts ukitoka hapo ndio uende mwenyewe ukatafute spare parts used mtandaoni au uachane na gari.Kwenda kufanya Diagnosis CMC umetaka mwenyewe.
Majibu utakayopata ni yale yale.
Shida ni watu anataka aendeshe gari mpaka izime.
Ni bora ufanye diagnosis CMC update fault zote na ujue gharama ya genuine parts ukitoka hapo ndio uende mwenyewe ukatafute spare parts used mtandaoni au uachane na gari.
Shida inaanza mtu anaponunua Range Rover mfano kwa 5000 usd na kufikiria bei ya spare itaendana na bei aliyonunulia bila kujua spare inaendana na bei original ya gari 95,000 USD kwenda juu na hakuna spare za janja janja kama gari za mjapan...kuna jamaa hapa alinunua used Range Rover US uzuri ilikuwa na warranty...matatizo aliyoyapata alilipiwa zaidi ya 15,000 USD.
This is too much... 🤣Kama huna kipato cha kutosha JIANDAE Kulala masaa 2 Kazi masaa 10
Masaa yaliyobaki ni kuwaza jinsi ya kuzuia taa za dashboard za range rover zisiwake na kuzima zinazowaka huku ukilinda masega yasitolewe.
Hakuna kama Land cruiser V8 kamanda, mjapan achananae aise
Jitu kuna sababu ni kwann harrier ni nyingi sio kuwa watu hawazioni RR.😀This is too much... 🤣
Yaan dashboard inasoma kila kitu kwa wakati mmoja
Harrier ni nyingi sababu RR mnaziita jini maimuna.Jitu kuna sababu ni kwann harrier ni nyingi sio kuwa watu hawazioni RR.😀
Harrier ni nyingi sababu RR ni gharama kumaintain. Hakuna sababu nyingine.Harrier ni nyingi sababu RR mnaziita jini maimuna.
Halafu pia kule juu kuna mdau kasema Harrier ni nyingi sababu wadau mnapenda kuona makalio ya nyani.
Nmeupitia lakini naona kama sio sahihi baadhi ya vituUsiache kupitia huu uzi mtoa mada
Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika. Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo. Kisha ukiangalia kwenye Total. Hii gari imegharimu shilingi za Kenya 1,614,720 Ukiangalia exchange rate ya shilling ya Kenya Ni sawa na sh. 20.37 ya Tanzania...www.jamiiforums.com
Harrier ni nyingi sababu RR ni gharama kumaintain. Hakuna sababu nyingine.
Mafuta kuna Toyota yana cc za kutosha na yapo.
Mbona umetoa option moja tu..tafuta nyingine labda VW..naona wazambia wananunua sana VW zinaweza kuwa cheap kumaintain
VW touareg
Kama una multiple problems, huna uzoefu na hilo gari , hujui wapi pa kupata fundi sahihi anayeweza kufanya correct diagnosis, na wewe mwenyewe huna technical know how ni rahisi sana kupata majibu yasiyo sahihi na kwenda kununua spare ambazo ni useless...kama unauzoefu na gari unaweza kuwa na scanner yako mwenyewe ukafanya diagnosis na vitu kama vya umeme ukiwa na toolbox yako unaweza ukabadilisha mwenyewe at 0 cost.Logic ya Kwenda CMC ni nini?
Kwamba kama secondary air injection pump imezingua ukipima CMC na ukaenda kupima sehemu nyingine kutakuwa na utofauti wa majibu?
Kama una multiple problems, huna uzoefu na hilo gari , hujui wapi pa kupata fundi sahihi anayeweza kufanya correct diagnosis, na wewe mwenyewe huna technical know how ni rahisi sana kupata majibu yasiyo sahihi na kwenda kununua spare ambazo ni useless...kama unauzoefu na gari unaweza kuwa na scanner yako mwenyewe ukafanya diagnosis na vitu kama vya umeme ukiwa na toolbox yako unaweza ukabadilisha mwenyewe at 0 cost.
Kuna watu wamelizwa kwa hizi gari za mzungu kwa diagnosis za kubahatisha, unatoa 400 usd au euros unaweka kitu halafu bado kinazingua unarudi tena unaweka 250 usd ndio ikubali au ibume na spare kuagiza minimum ni siku 3 mpaka uipate, hizo sio gari za kubahatisha na kama ukinunua wrong part sometimes kuiuza ni shughuli.
Ninaongea from experience na hizo gari. Kuna jamaa alinunua SAM ya Mercedes ML W164 kwa 360$ kumbe tatizo ni EIS ambayo ni 200- 250$ mafundi wengi wanabahatisha na kama hajui hakatai kazi na unaweza kuingia hasara kama haujui wapi kwa kuanzia...sio kama Toyota chochote utakachonunua kama kimekosewa unakiuza siku hiyo hiyo hata kwa kumuachia fundi.