Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kila week unatibu nini?Heshima yake inaanzia kwa malipo ya fundi ya kila week[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila week unatibu nini?Heshima yake inaanzia kwa malipo ya fundi ya kila week[emoji28]
Hayo magari Ili ufanikiwe nunua brand new.Kila week unatibu nini?
Nazifahamu vzr sana boss,shukuru Sana mjapan kwa kuokoa jahazi.Na ndicho kinachofanyika boss. Ningekuwa mjinga kama nisingejua kuwa natakiwa pia kuwa na toyota boss. Hizi gari ni nzuri mkuu ila ndo hivyo tena.
Nshamshukuru hapa na ntamzawadia lather seat.Nazifahamu vzr sana boss,shukuru Sana mjapan kwa kuokoa jahazi.
Matajiri wananunua hizo machine warranty ikiisha wanachukua chuma kingine, wajerumani weusi wa hapa kazi Yao Ni kununua magari ya ujerumani ya miaka 10's huko iliyopita halafu anakuuliza kwa kebehi 'unajua mziki wa mjerumani wewe' in Polepole voiceHayo magari Ili ufanikiwe nunua brand new.
Kinyume chake umenununua mke wa mtu ambaye ni mzee na Ana Watoto 9.
Nunua kwanza halafu utaleta majibuKila week unatibu nini?
Jeep Wrangler (TJ) nimeiendesha Sana ,haina u-luxury wowote na kwa mwendo mrefu wa kila siku inachosha, Nilikua naipendea Ile kua topless,hii gari ukiizoea Ina bond 1 ya hatari Sana.Weka tu gari ingine,kama nia yako si Harria. Lakini si Range Rover. Hiyo sio gari. Inahitaji umakini kwa kila kitu. Haitakiwi kumuachia mtu mwingine asielijulia, litarudi linavutwa kwa gharama yako.
Sina mzuka kabisa na huyo mdudu. Kuna kile JEEP WRANGLER. Naikubali sana ile ngoma. Mwenye hela aniazime mara moja jamani. Nikavute huyu mnyama huyu. Kama nachelewa hiviView attachment 2094816
Basi wameziboresha. Nimekutana nayo Dubai anaiendesha mzungu mmoja,nzuri sana. Tulienda nae mpaka airpot. Iko vizuri. Tukaongea nae zilivyo. Ziko vizuri. Japo ile ni reft hand lakini naamini hata right hand za sasa zitakuwa hivyoJeep Wrangler (TJ) nimeiendesha Sana ,haina u-luxury wowote na kwa mwendo mrefu wa kila siku inachosha, Nilikua naipendea Ile kua topless,hii gari ukiizoea Ina bond 1 ya hatari Sana.
Hiki kizazi Cha Rubicon/JL sijaiendesha lkn naona Kama itakua na u-luxury.
Dude lenyewe ukiliona tu linavutia kishenzi mzee,all the best.Basi wameziboresha. Nimekutana nayo Dubai anaiendesha mzungu mmoja,nzuri sana. Tulienda nae mpaka airpot. Iko vizuri. Tukaongea nae zilivyo. Ziko vizuri. Japo ile ni reft hand lakini naamini hata right hand za sasa zitakuwa hivyo
Naitamani sana hii ngoma JEEP WRANGLER
Bonge la kitu mkuu. Nalimaind kishenzi. Sijui kwa sasa mpaka kulipia hapa linaweza kufika kwa bei gani?Dude lenyewe ukiliona tu linavutia kishenzi mzee,all the best.
Cc 4600 utazuweza kuilisha??😂Crown Majesta ndio mnyama mwenyewe sasa ukiachana na SUV Mkuu
Hizo ni balaa sna mkuu,unaweza kutoka ubungo hadi manzese darajan wese lishakata,wanatakiwa kuendesha matajiri tu mandinga hayoCc 4600 utazuweza kuilisha??😂
😂😂😂 kuna fuga ipo modified nayo ina cc 4200 engine invo unguruma tu, Na harrier yako utakiri hapa mwanaume kapitaHizo ni balaa sna mkuu,unaweza kutoka ubungo hadi manzese darajan wese lishakata,wanatakiwa kuendesha matajiri tu mandinga hayo
Bei kupunguzwa Sana si kigezo cha kukimbia kununua gari. Nilishawahi kununua gari imepunguzwa 67% ya Bei ya awali na bado inatembea fresh tuNatoa siri mkubwa gari ukiona lilitoka na bei kubwaaa afu likadepreciate haraka sana likimbie hilo gari....
Japo wahuni wa tako la nyani hawatoweka rekodi za ukoo kama mwenye vogue
Ila mwenye vogue ataweka rekodi
Kwenye ukoo
Garage
Na sheli
Ah watu wa matako ya nyani wanapita kimyakimya hapa wanakuchora tu
Hiyo itakuwa haili,bali inabwia,hivi wazungu kututengenea migari yenye miinjini kubwa hivyo lengo lao hizo gari tuzione barabarani tu tusizimiliki waendeshege wao tu auuu?😂😂😂 kuna fuga ipo modified nayo ina cc 4200 engine invo unguruma tu, Na harrier yako utakiri hapa mwanaume kapita
Starehe tu kama unauwezo unavuta kitu safii. Siku izi watu wanaagiza gari na spare zake muhimu kabla hazijaaribika.Hiyo itakuwa haili,bali inabwia,hivi wazungu kututengenea migari yenye miinjini kubwa hivyo lengo lao hizo gari tuzione barabarani tu tusizimiliki waendeshege wao tu auuu?