Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Hayo magari Ili ufanikiwe nunua brand new.
Kinyume chake umenununua mke wa mtu ambaye ni mzee na Ana Watoto 9.
Matajiri wananunua hizo machine warranty ikiisha wanachukua chuma kingine, wajerumani weusi wa hapa kazi Yao Ni kununua magari ya ujerumani ya miaka 10's huko iliyopita halafu anakuuliza kwa kebehi 'unajua mziki wa mjerumani wewe' in Polepole voice
 
Weka tu gari ingine,kama nia yako si Harria. Lakini si Range Rover. Hiyo sio gari. Inahitaji umakini kwa kila kitu. Haitakiwi kumuachia mtu mwingine asielijulia, litarudi linavutwa kwa gharama yako.

Sina mzuka kabisa na huyo mdudu. Kuna kile JEEP WRANGLER. Naikubali sana ile ngoma. Mwenye hela aniazime mara moja jamani. Nikavute huyu mnyama huyu. Kama nachelewa hivi
Screenshot_20220125-095403_Opera%20Mini.jpg
 
Weka tu gari ingine,kama nia yako si Harria. Lakini si Range Rover. Hiyo sio gari. Inahitaji umakini kwa kila kitu. Haitakiwi kumuachia mtu mwingine asielijulia, litarudi linavutwa kwa gharama yako.

Sina mzuka kabisa na huyo mdudu. Kuna kile JEEP WRANGLER. Naikubali sana ile ngoma. Mwenye hela aniazime mara moja jamani. Nikavute huyu mnyama huyu. Kama nachelewa hiviView attachment 2094816
Jeep Wrangler (TJ) nimeiendesha Sana ,haina u-luxury wowote na kwa mwendo mrefu wa kila siku inachosha, Nilikua naipendea Ile kua topless,hii gari ukiizoea Ina bond 1 ya hatari Sana.

Hiki kizazi Cha Rubicon/JL sijaiendesha lkn naona Kama itakua na u-luxury.
 
Basi wameziboresha. Nimekutana nayo Dubai anaiendesha mzungu mmoja,nzuri sana. Tulienda nae mpaka airpot. Iko vizuri. Tukaongea nae zilivyo. Ziko vizuri. Japo ile ni reft hand lakini naamini hata right hand za sasa zitakuwa hivyo

Naitamani sana hii ngoma JEEP WRANGLER
 
Dude lenyewe ukiliona tu linavutia kishenzi mzee,all the best.
 
Natoa siri mkubwa gari ukiona lilitoka na bei kubwaaa afu likadepreciate haraka sana likimbie hilo gari....
Japo wahuni wa tako la nyani hawatoweka rekodi za ukoo kama mwenye vogue

Ila mwenye vogue ataweka rekodi
Kwenye ukoo
Garage
Na sheli

Ah watu wa matako ya nyani wanapita kimyakimya hapa wanakuchora tu
Bei kupunguzwa Sana si kigezo cha kukimbia kununua gari. Nilishawahi kununua gari imepunguzwa 67% ya Bei ya awali na bado inatembea fresh tu

images (1) (11).jpeg
 
😂😂😂 kuna fuga ipo modified nayo ina cc 4200 engine invo unguruma tu, Na harrier yako utakiri hapa mwanaume kapita
Hiyo itakuwa haili,bali inabwia,hivi wazungu kututengenea migari yenye miinjini kubwa hivyo lengo lao hizo gari tuzione barabarani tu tusizimiliki waendeshege wao tu auuu?
 
Hiyo itakuwa haili,bali inabwia,hivi wazungu kututengenea migari yenye miinjini kubwa hivyo lengo lao hizo gari tuzione barabarani tu tusizimiliki waendeshege wao tu auuu?
Starehe tu kama unauwezo unavuta kitu safii. Siku izi watu wanaagiza gari na spare zake muhimu kabla hazijaaribika.
 
Back
Top Bottom