Ushauri wako umekuja wengine tukiwa wastaafu tayari, madaktari washatukataza kupiga vyombo.unataka kusemaje tajiri
Huo ni utoto.. ukikua utaacha.kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
🤣 bado mda upoUshauri wako umekuja wengine tukiwa wastaafu tayari, madaktari washatukataza kupiga vyombo.
Ilibidi utuwahi wakati bado vijana.
Pombe na ngona ni starehe za masikini. Adventure inahitaji mfukonkwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
Huwezi ukamwambia mtu aache kitu kinachomfurahisha yeye, afanye kitu kinacho kufurahisha wewe. Kwamba meisho wa siku viwanda vya vilevi vifungwe wafungue zoo???sawa mtu mzima
Basi usirudie tena kufananisha pombe na mambo ya kijinga.maisha ni kuchagua
😂😂😂😂😂kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana