Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
 
Hao wajawazito wapime DNA ili kama wamebeba TZ blood or otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…