Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,275
Voda ziko laini maalumu ambazo wame-allocate zinakubali hiyo code... kuna watu nimewasajilia hivi karibuni na zinakubali ila ni offer ya maeneo machacheHeb nije ujanja unaungaje maana nshawahi kuambiwa na mtu mwingine nikAdial voda *149*02# nikapata menu ya university Ofa ila ikaja msg kwamba siwez kuunganishwa.