Badili laini zako kwenda university kwa 4000 tu, mitandao yote

Inawezekana. Mimi kuna siku niliamua kujaribu tu na ikawezekana. Mpaka leo naunga tena kwa uzuri kabisa. Nachagua kama niunge kwa kutumia m-pesa ama vocha. Sipo chuoni wala maeneo ya karibu na chuo.
e940d4f5d15dfc3795d3b942a3e6e837.jpg

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nmejaribu mda huu kitu kimegoma Aisee!!!
 
Inawezekana. Mimi kuna siku niliamua kujaribu tu na ikawezekana. Mpaka leo naunga tena kwa uzuri kabisa. Nachagua kama niunge kwa kutumia m-pesa ama vocha. Sipo chuoni wala maeneo ya karibu na chuo.
The 5BG916DE1Y5 transaction is cancelled.
 
Kuweni makini wandugu kuna yule wa 9000 alisema anaunga watu ...wengine tukatapeliwa elfu 9 zetu

Mimi ilikubali kwa wiki tu baada ya hapo imegoma kabisa na ilikua ni offer ya Voda tu sio kua yeye alikua anaunga. Najilaumu kupenda offer kumeniliza pesa yangu.
 
Haha pole me mwenyew aliniunga ikakubali wiki tu baada ya hapo hamna kitu ukimpigia simu anakuita msumbufu........sahz siamn tangazo lolote la mtu humu
 
UNIVERSITY OFFERS[emoji92]
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni kwakulipia shilingi za kitanzania. Tsh 4000pekee

Utaratibu wa kuungwa number itaingizwa kwenye system kuanzia mda ulipapo na baada ya sa 24 itakuwa tayar.

Vitu vinavyoitajika
1. Number ya tigo au voda
2. Jina la usajili wa line yako
3. 4000
ni PM sasa au whatsapp 0712192406

Vifurushi utakavyoweza kujiunga sehemu yoyote ni kama ifuatavyo

1.Sh500 dk 60+sms500+Mb 1000 ( SAA 24)
2.Sh 1500= Dk 215+ sms5000+ Mb 1600 ( siku 7)
3.Sh 500 Mb 1000 (siku 7)
4Sh 500 Dk 100 mitandao yote ( siku 7)

Uhaminifu wangu 100% nina watu wengi wamepata huduma yangu.

Furahia internet na dakika kibao ,usisitesite tena kuperuzi.

NI KWA WATUMIAJI WA TIGO NA VODA PEKEE......

KARIBUNI SANAA
T A P E R I W E W E
 
Mkuu, hvyo aina ya vfurushi ulivyoweka ni kwa mtandao gani...?
Ni kwa tigo ama voda maana umesema kwa mitandao miwili.. Yaan tigo na voda... Sasa hvyo ni vya mtandao upi..?
UNIVERSITY OFFERS[emoji92]
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni kwakulipia shilingi za kitanzania. Tsh 4000pekee

Utaratibu wa kuungwa number itaingizwa kwenye system kuanzia mda ulipapo na baada ya sa 24 itakuwa tayar.

Vitu vinavyoitajika
1. Number ya tigo au voda
2. Jina la usajili wa line yako
3. 4000
ni PM sasa au whatsapp 0712192406

Vifurushi utakavyoweza kujiunga sehemu yoyote ni kama ifuatavyo

1.Sh500 dk 60+sms500+Mb 1000 ( SAA 24)
2.Sh 1500= Dk 215+ sms5000+ Mb 1600 ( siku 7)
3.Sh 500 Mb 1000 (siku 7)
4Sh 500 Dk 100 mitandao yote ( siku 7)

Uhaminifu wangu 100% nina watu wengi wamepata huduma yangu.

Furahia internet na dakika kibao ,usisitesite tena kuperuzi.

NI KWA WATUMIAJI WA TIGO NA VODA PEKEE......

KARIBUNI SANAA
 
UNIVERSITY OFFERS[emoji92]
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni kwakulipia shilingi za kitanzania. Tsh 4000pekee

Utaratibu wa kuungwa number itaingizwa kwenye system kuanzia mda ulipapo na baada ya sa 24 itakuwa tayar.

Vitu vinavyoitajika
1. Number ya tigo au voda
2. Jina la usajili wa line yako
3. 4000
ni PM sasa au whatsapp 0712192406

Vifurushi utakavyoweza kujiunga sehemu yoyote ni kama ifuatavyo

1.Sh500 dk 60+sms500+Mb 1000 ( SAA 24)
2.Sh 1500= Dk 215+ sms5000+ Mb 1600 ( siku 7)
3.Sh 500 Mb 1000 (siku 7)
4Sh 500 Dk 100 mitandao yote ( siku 7)

Uhaminifu wangu 100% nina watu wengi wamepata huduma yangu.

Furahia internet na dakika kibao ,usisitesite tena kuperuzi.

NI KWA WATUMIAJI WA TIGO NA VODA PEKEE......

KARIBUNI SANAA
Wewe jamaa muongo sana.. hakuna vifurushi vya chuo Tigo kama hivyo.. sema tu utapeli
 
Back
Top Bottom