Badili laini zako kwenda university kwa 4000 tu, mitandao yote

Heb nije ujanja unaungaje maana nshawahi kuambiwa na mtu mwingine nikAdial voda *149*02# nikapata menu ya university Ofa ila ikaja msg kwamba siwez kuunganishwa.
Voda ziko laini maalumu ambazo wame-allocate zinakubali hiyo code... kuna watu nimewasajilia hivi karibuni na zinakubali ila ni offer ya maeneo machache
 
Voda ziko laini maalumu ambazo wame-allocate zinakubali hiyo code... kuna watu nimewasajilia hivi karibuni na zinakubali ila ni offer ya maeneo machache
Hiyo code *149*02# ina maana ikiwa inasoma kwenye simu yako itakuwa unaweza kuniunga na Bando hizo za Uni Offer
 
Ni Lain moja 3g iko labda eneo ila n mjini na watu weng wanailalamikia
 
Ni Lain moja 3g iko labda eneo ila n mjini na watu weng wanailalamikia
Inawezekana tatizo ni eneo, mi niko masaki hakuna tatizo lakini nikiwa hapa maeneo ya general tyre makangira, napata tatizo la net kuwapungua speed.
 
Huu pia ni upotoshaji kwa 100%
 
Mimi voda wenyewe walinitumia msg kunitaarifu kuwa wameniunga. Sijui walitumia kigezo gani!
UNI PACKS OFFER ! YOU have been selected to subscribe to UNIVERSITY PACKS. This is SPECIAL FOR YOU ONLY. Dial *149*42# to subscribe.Terms and conditions apply.
Mpaka sasa nafaidi tu kupitia *149*42#
 
We nahisi hata zile meseji za babu mganga ndio huwa unatumia watu au uko kwenye huo mtandao!unajua watanzania wanapenda free boat ndo mana unataka uwaingize chaka!acha kuzingua bana
 
Kwa Voda uni ni *149*42# kupata access ni lazima uwe laini iwe imeunganishwa kwanza. Vifurushi vyenyewe ni:
1. Tsh. 500 Mb 500 siku.
2. Tsh. 1500 dk 150 voda-voda + dk 15 mitandao yote. Data 1gb +1gb night kwa wiki.
 
Heb nije ujanja unaungaje maana nshawahi kuambiwa na mtu mwingine nikAdial voda *149*02# nikapata menu ya university Ofa ila ikaja msg kwamba siwez kuunganishwa.
Jaribu kwa sasa.
 
Menu inakuja lakin huwez kujiunga
Inawezekana. Mimi kuna siku niliamua kujaribu tu na ikawezekana. Mpaka leo naunga tena kwa uzuri kabisa. Nachagua kama niunge kwa kutumia m-pesa ama vocha. Sipo chuoni wala maeneo ya karibu na chuo.
 
Kama kuna shuhuda ktk hili aseme humuhum ndan au siku hizi Uni Offer zinategemea chuo husika? Maana tuliopo chuo wenye lain za chuo hatuna vifurushi Kama vile au labda Oxford university?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…