Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Mkuu mshana kama hutojali tunaomba pia utufafanulie kidogo kuhusu hiyo miiko ya BMW

Sent using Jamii Forums mobile app
Miiko yake haitofautiani sana na ya magari ama mashine nyingine
. Epuka kuwa na watumiaji wengi tofauti.. I mean madereva
. Epuka kumpa dereva asiye mzoefu
. zingatia service
. Tumia vimiminika halisi
. Tumia vifaa halisi
. Makinika na warning lights kwenye display ya dashboard
Epuka rough riding etc

Jr[emoji769]
 
Mkuu nimefatilia ipasavyo majadiliano haya!

Chief katika maisha kila MTU hujikuna mkono unapoishia, naomba uzungumzie kwa undani zaidi Nissan extrail

Mkono Wangu, sikio LANGU, nafsi yangu imelalia hapo! Karibu Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikushauri sana kuhusu hizo gari ni nyanya na spare ni gharama, pia zinakuwa na shida ya gearbox na AC na zina fuel consumption ya juu kidogo... N gari zinazohitaji ile slogan ya handle with care...

NB: nimeandika kwa muktadha wa uzoefu wangu

Jr[emoji769]
 
Very informative,thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma kwa umaridadi chief! Sasa ngoja nirejee kwenye Toyota[emoji91] nashukuru kwa ushauri wako! Hakika sitoupuuza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kutishana ni KUOGOFYISHANA, ukweli ni kwamba wenye nazo wamekuwa hawapati spears genuine au mafundi Wetu ni WALEEEEEEE WAKUFUNGUA ENGINE YOTE ALAFU WAKATI WANARUDISHIA WANAJIKUTA WANA NUTS ZIMEBAKIA MKONONI HAZINA PA KUFUNGA WAKATI WAMEFUNGUA hapohapo kwenye injini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.

Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
aache kuokota mafundi wa mtaani.... tatizo tunapenda vizuri af tunabania kutoa hela...

Sent from my VKY-L29 using Jamii Forums mobile app
 
Chief Mshana Jr shukrani kwa motisha uliyonipa ya kuisogelea BMW. Niliweka Nia ya maana na nikaifanyia kazi. For sure wabongo tumezoea kujazana woga tu mwisho wa siku wote tunajikuta tuna magari yamefanana Kama quarters za polisi, hata likiibiwa hujui lako no lipi.

Mi baada ya kufatilia uzi wako nikajaa ujasiri nikauza GDI, nikauza premio na kuongezea hell kidogo now nimekamata mnyama wa ajabu BMW M-Sport imefika point najiona sitanunua gari tena jinsi imeuridhisha moyo wangu.

Mshana salute kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesikiliza ukatafajari ukaamua, ukathubutu kujaribu na sasa hujuti... [emoji115][emoji115][emoji115][emoji120][emoji120][emoji106][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]

Jr[emoji769]
 
Analysis yako iko based on people hear said, social prestige na popularity, umeshau kuchambua upande wa economic, financial, mechanical and political
 
Analysis yako iko based on people hear said, social prestige na popularity, umeshau kuchambua upande wa economic, financial, mechanical and political
Unisaidie but you are totally wrong pal... I don't see any hear says in my post... Only facts
 
Ndugu mbadili mawazo, mbeleni kidogo tu nitahitaji family car yenye umbo/mwonekano kama wa Alphard. Vipi Bmw wanatoleo la hivyo? bei isizidi Milioni 14.
 
Ndugu mbadili mawazo, mbeleni kidogo tu nitahitaji family car yenye umbo/mwonekano kama wa Alphard. Vipi Bmw wanatoleo la hivyo? bei isizidi Milioni 14.
Mmh BMW zipo model za X6, X5 SUV, Model unayotaka zipo Benz
 
1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.

Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.
Ndugu mbadili mawazo, mbeleni kidogo tu nitahitaji family car yenye umbo/mwonekano kama wa Alphard. Vipi Bmw wanatoleo la hivyo? bei isizidi Milioni 14.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…