Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Nitaagiza BMW 5-Series 530i ya mwaka 2008. Naachana na magari ya kijapan.

Ugomvi kodi zetu mbaba, hii nchi haina maana kabisa katika kodi za magari!

Kuna mnyama nimeshindwa sababu ya kadirio lao yaan CIF 33,000,0000/ then kodi nije kulipa 48,000,000/.

Hii sijapata ona na hasa magari latest kodi yake ni kichaaaa
 
Wadau nahitaji kua Fundi wa hizi gari, yaan gari zote za kijerumani kwa kutumia computer. Ni wapi naweza kupata elimu sahihi ya hui kitu, kwa kwenye ujuzi tafadhali
 
Jifunze online ndio kuna elimu bora na ya kisasa
 
View attachment 686106ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa v... Lakini mkiwa rodini mnyama atatamba

Naangaika kupata BMW, 5 Series, AT, RHD, Sedan, Petrol, 2,500CC, Push to start, mileage hisizidi 80,000km, ya mwaka 2008 ama ya 2007 ambayo inakaribia kufanana na ya mwaka 2008 na iwe inatoka Japan na sio Singapole.

Nafuatilia sana Befoward sababu bei zao ni za kawaida tofauti na kwingine lakini bado sijapata yenye kuniridhisha.

je, kuna kampuni zingine naweza kuangalia tofauti na Tradecarview na SBT?
 
Noted....!!!!!
 
Cheki jamaa wa AUTOREC naona wanasifiwa,gari zao wanazi recondition kabla ya kuzileta huku so inakua expensive kiaina mkuu though mimi ni mzee wa Beforward sababu ya urahisi wa bei.
 
Mfano mpaka leo.Service ya gari mara nyingi wanabadili oil na oil filter. basi...kumbe ata airbags zinatakiwa kuwa checked na Computer kama zipo OK au hapana.Automatic brake System kama zipo OK au hapana na Sensors haya hayafanyiki..kweli kabisa safari bado ndefu.Serikali inatakiwa kuwekeza kwenye kuzalisha mafundi mchundo wengi kuendana na kasi ya teknolojia na ukuwaji wa uchumi
Na hii kiukweli inasababisha ajali ya gari za serikali na madereva wanalaumiwa bure maana mafundi wamekariri tu vitu vichache na vingine hata hawana uelewa nao wakati mwingine....

Niliwahi shuhudia dereva mmoja wa boss kazini kwetu, ile V8 ilikuwa inawaka taa kama tatu za kuashiria tatizo kwenye engine, anapeleka garage maalum ya hayo magari ya 'SU' mafundi wanapuuzia inabadilishwa oil na vingine ila zile taa hazizimi, kuna siku imekwenda safari ana-overtake anashtuka brakes hamna hata kidogo na lile dude lilivyo zito linakolea tu na ni SUV ukivuta handbrake kijinga jinga mnapinduka, tunashukuru hakufa mtu huko ndani siku hyo!

Mafundi wengi wa Bongo ndo wanafanya tunaogopa kununua hizi BMW au VW au AUDI, ila kiukweli hizo gari ukizingia zile warnings inazokupa hutakaa upate shida hata siku moja kwenye spares za engine labda kama we ni mtu wa kugonga gonga gari unapasua pasua taa e.t.c ndo utaumia kidogo
 
Itabidi tuwe mafundi kama wazungu. Unakuwa na zana zote ikiwemo car diagnotic machine, zile service za kawaida unazifanya mwenyewe.
 
Yeah, maana ukipeleka service wao wanajua kubadilisha oil, kuangalia shock absorbers, na gas ya AC na wheel alignment, ABS hata hawahangaiki nayo
 
Cheki jamaa wa AUTOREC naona wanasifiwa,gari zao wanazi recondition kabla ya kuzileta huku so inakua expensive kiaina mkuu though mimi ni mzee wa Beforward sababu ya urahisi wa bei.
Wengine bei zao unakuta ni karibia ya mara 1.5 ama 2 ya Beforward. Kuna Kampuni watu wanaisifia sana kuwa na magari mazuri nikakuta gari nalo litafuta ndiyo iloilo lipo Befoward bei yao iko juu tofauti na bei iliyopo Befoward.
 
Wengine bei zao unakuta ni karibia ya mara 2 ama 3 ya Beforward. Kuna Kampuni watu wanaisifia sana kuwa na magari mazuri nikakuta gari nalo litafuta ndiyo iloilo lipo Befoward bei yao iko juu tofauti na bei iliyopo Befoward.
Hio kitu hata TRADECARVIEW wanayo sana,kuna gari niliichek be forward CIF yake ni $3700 kule nimeenda gari ile ile nimeikuta ni $ 5300,upuuzi sana.
 
Duu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44]
 
Naangaika kupata BMW, 5 Series, AT, RHD, Sedan, Petrol, 2,500CC, Push to start, mileage hisizidi 80,000km, ya mwaka 2008 ama ya 2007 ambayo inakaribia kufanana na ya mwaka 2008 na iwe inatoka Japan na sio Singapole.

Nafuatilia sana Befoward sababu bei zao ni za kawaida tofauti na kwingine lakini bado sijapata yenye kuniridhisha.

je, kuna kampuni zingine naweza kuangalia tofauti na Tradecarview na SBT?
Kwanini hutaki ya Singapore mkuu?
 
Na hii kiukweli inasababisha ajali ya gari za serikali na madereva wanalaumiwa bure maana mafundi wamekariri tu vitu vichache na vingine hata hawana uelewa nao wakati mwingine....

Niliwahi shuhudia dereva mmoja wa boss kazini kwetu, ile V8 ilikuwa inawaka taa kama tatu za kuashiria tatizo kwenye engine, anapeleka garage maalum ya hayo magari ya 'SU' mafundi wanapuuzia inabadilishwa oil na vingine ila zile taa hazizimi, kuna siku imekwenda safari ana-overtake anashtuka brakes hamna hata kidogo na lile dude lilivyo zito linakolea tu na ni SUV ukivuta handbrake kijinga jinga mnapinduka, tunashukuru hakufa mtu huko ndani siku hyo!

Mafundi wengi wa Bongo ndo wanafanya tunaogopa kununua hizi BMW au VW au AUDI, ila kiukweli hizo gari ukizingia zile warnings inazokupa hutakaa upate shida hata siku moja kwenye spares za engine labda kama we ni mtu wa kugonga gonga gari unapasua pasua taa e.t.c ndo utaumia kidogo
Fundi hapuuzii, dereva ndio mpuuzi. Unaendeleaje kuendesha gari wakati warning lights zipo on? Fanya diagnosis kisha fix tatizo
 
Back
Top Bottom