Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata simple reasoning imekushida kabisa.BMW is money pit aka zimwi nyonya hela especially his second hand. Hakuna cha ubora wala nini ila zimekua made specifically ili ziharibike frequently kisha BMW wapige pesa kwenye parts na service.
Tatizo sio gari. Tatizo mafundi wanaozijua hizo gari ndio shida. Fundi Juma sio wa kumpa European cars.Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.
Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
Mmh huu mtazamo umejaa makengezaBMW is money pit aka zimwi nyonya hela especially his second hand. Hakuna cha ubora wala nini ila zimekua made specifically ili ziharibike frequently kisha BMW wapige pesa kwenye parts na service.
Ila magari ya ulaya Kwa ndani kama ndege batani si bataniMmh huu mtazamo umejaa makengeza
Huo ndio ukweli,watu wanazikimbia pale 5 yrs 60000 km warranty ikiisha .Mmh huu mtazamo umejaa makengeza
Kitu kinachotushinda ni kwamba gari za kizungu ziko more advanced kiteknolojia na unakuta matengenezo ndio tatizo kwa maana ya pesa,spea na mafundi pia utakuta BMW imepaki inasumbua gearbox na tatizo hilohilo likitokea kwenye brevis linatatuliwa fasta,nissan nazo nyingi ni kama european car si mbovu ila kuzihudumia ndio tatizo.
Sawa mimi naomba unishauri sehemu nzuri ya kufanya service ya bmw mkuu mshana.Nimekuwa naziendesha karibia miaka 15 sasa na sijawahi kujuta.. Na ni gari bora sana ukizingatia dashboard inasemaje na ikiiepusha na mikono mingi
Asante. Unafanya wapu service ya gari lako?Nipo na bmw kwa muda mrefu na maisha mazuri tu haya mambo mengine sijui yanatoka wapi. Fanya service vizuri na uwe dereva mzuri hutajutia.
Kituo chochote chaSawa mimi naomba unishauri sehemu nzuri ya kufanya service ya bmw mkuu mshana.
Asante sana mzee ..mafundi uchwara na wamiliki uchwara wa toyota wanatutisha mno.
Uko sahihi mm Nina volvoxc90Ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida.
Lakini nikwambie tu kitu kimoja hakuna gari imara kama BMW na ukiweza kufuata masharti ya kumiliki gari hutakaa ujutie pesa yako
Kama una uwezo wa kununua Brevis, Nissan Fuga au Klugger... Magari ya kijapan yenye engine kubwa na matumizi makubwa ya mafuta... Hakika HUWEZI kushindwa kununua BMW ya kawaida lakini yenye viwango sawa na hizo gari hapo juu.. Huku ukifurahia ulaji mdogo wa mafuta... Mfumo wa BMW uko tofauti sana... Umejengwa kwenye mfumo wa kuokoa ulaji wa mafuta huku nguvu ya mashine ikiwa ni ileile
Gari nyingi za kijapan hazina body ngumu tofauti kabisa na huyu mnyama BMW... Yani hata unapokaa kwenye seat unahisi kabisa umekaa kwenye mashine ya ukweli... Na ni aghalabu kukuta BMW imepinduka kichwa chini mijuu guu
Hizo magari hapo juu nazo spare zake ni ngumu na ghali kupatikana kama BMW tuu... Tena sometimes unaweza kuipata ya mnyama kirahisi zaidi kuliko hizo nyingine.
Kingine ni kwamba BMW wana variety of different styles na kila style ni bakora tofauti na hizi nyingine.... Ukikuta mabrevis yote yanafanana
Badili mtazamo wako BMW ni gari ngumu nzuri na sio ghali kama unavyodhani.. Kuwa tofauti... Miliki mnyama... Pichani hapo juu ni 320td fuel consumption ni km 15 kwa Lita sawasawa na duet tuu... Lakini mkiwa rodini mnyama atatamba
Hahahahaha ukiwasikiliza unaweza kudhani hizi sio gari kabisa.. Wakati ndio gari ambazo usalama umezingatiwa kwa asilimia 100 kuliko ToyotaAsante sana mzee ..mafundi uchwara na wamiliki uchwara wa toyota wanatutisha mno.
BMW ni kichomi Kaka mkubwa😊.Hahahahaha ukiwasikiliza unaweza kudhani hizi sio gari kabisa.. Wakati ndio gari ambazo usalama umezingatiwa kwa asilimia 100 kuliko Toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna gari ambayo sio kichomi ukikosea tangu siku ya kwanza.. Mimi hazijawahi kunisumbua na nazipenda mno!BMW ni kichomi Kaka mkubwa[emoji4].