Badili mtazamo wako kuhusu BMW

BMW is money pit aka zimwi nyonya hela especially his second hand. Hakuna cha ubora wala nini ila zimekua made specifically ili ziharibike frequently kisha BMW wapige pesa kwenye parts na service.
Hata simple reasoning imekushida kabisa.

Kwamba BMW kabisa wanakaa kabisa kwenye board meetings wanaazimia watengeneze gari zinazoharibika haraka ili wapate hela?

Kama ni hivyo, mbona almost all their spare parts zinatoka kwa third part manufacturers?

Kwamba wewe ulie Chato vijijini unajua kwamba bmw wameazimia watengeneze gari mbovu ila regulators wa EU or North America hawajui hiyo scandal?
 
Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.

Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
Tatizo sio gari. Tatizo mafundi wanaozijua hizo gari ndio shida. Fundi Juma sio wa kumpa European cars.
 
BMW is money pit aka zimwi nyonya hela especially his second hand. Hakuna cha ubora wala nini ila zimekua made specifically ili ziharibike frequently kisha BMW wapige pesa kwenye parts na service.
Mmh huu mtazamo umejaa makengeza
 

Trust me, Ni rarely gari ya Mzungu ikasumbua gearbox na ikashindikana kusolviwa...

Gari ya Japan ikibuma gearbox, una chance kubwa ya kununua gearbox nyingine.
 
Uko sahihi mm Nina volvoxc90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…