Badili mtazamo wangu, kipimo mojawapo cha kujua mwanaume bado hajakua, hajapevuka akili ni yeye kuweka wazi matamanio ya ngono na wanawake

Sio kweli, bali kila kitu kikizidi kipimo kinakuwa addiction kama addiction nyinginee tu ulevi, uvutaji sigara uliopitiliza, umbea, uwizi

So inategemea unapendelea nini zaidi reminding u hakuna binadamu asiye na addiction ila kila mtu anayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…