Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule
Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao
CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi kisha akasuswa ama kusahauliwa na ndugu zake! Hata akipata nafuu na pengine kupona bado ile hali ya kususwa haitakoma
Wachache kina Chalamila badala ya kumsaidia mgonjwa walau azinduke wao ndio kwanza wanazidi kumu overdose na majibu yao ya kifedhuli kwa jamii.. Huku wengine wakiandamana kuunga mkono tamko lililovunja katiba la kugombea urais
Hivi ni nini na ni kipi kwasasa kitaitoa CCM ICU? Ama tuandae tu msiba?
Je tutasafirisha ama tutazika hapa hapa?
Ama tuitie kwenye lichupa kubwa kufunge vizuri na kwenda kulitupa baharini kwenye kina kirefu!?😂
Good morning Tanganyika📌🔨