Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

Utajuta wewe na umeshaanza kujuta. Watanzania tunasonga mbele. Piga chini Jiwe, poha chini Bashiru, Piga chini SLOWSLOW piga chini sabaya. Leo IED imenoga vibaya mno.
Najuta kwa lipi? tulieni soon mtaaijua nguvu ya Umma mash.oga na wauza ngada nyie, mjiandae kuenjoy the show.
 
Akaja JPM akarudisha heshima ya Mtanzania wa kawaida .Mtanzania wa kaida akajiona kuwa kumbe naye Ana thamani katika nchi yake...MIKATABA ya madini ikasainiwa upya...Watanzania wakaambiwa nchi siyo maskini ila tunaibiwa na mabeberu na vibaraka wao wa ndani...dah..mabeberu wakakasirika na vibaraka wao wa ndani wakiwemo wafanyabiashara wa ndani wakakasirika..wezi wa Mali za umma wakakasirika.
Ngosha, tatizo la mwendazake alikuwa mbaguzi, alileta ukabila na ukanda.
Hakukuwa na utawala wa sheria, watu walidhulumiwa mno mno.
watu waliumizwa sana na 'kupotezwa'
Alipora hadi haki za wapiga kura nchi nzima!
Kwa ufupi ukichaa ulitawala.
 
1954 huwa havioni hivyo, anamtetea Jiwe kila katka andiko lake...................very likely 1954 ni msukuma. Anamtetea mkabila mwenzake. Lakini ajue jiwe siyo msukuma alizaliwa na baba wa Kihaya ... all in all as long as amejitambulisha kama Msukuma , well and fine. Jiwe ameangamiza nchi hii. Kwanini majority walishangilia kifo chake? Ingelikuwa siyo kuogopa nchi ingelilipuka kwa shangwe.... lilipuka kimya kimya....
 
A stupid comment from a very very very stupid person and who deserves no respect at all...may be you don't know the history of how this belived country has been governed from one administration (phase) to another...Sasa nitakuambia;. Wakati was uongozi was Baba was taifa Mwalimu Nyerere kulikuwepo na malalamiko mengi pia kwa maamuzi yaliyofanywa kwa Nia njema...kulikuwepo na operesheni vijiji mwaka 1973, 1974 na 1975..watu wakahamishwa kutoka maju bani mwao, wakachomewa nyumba na hata mazao njaa kubwa ijatokea nchini mwaka 1974..maelfu kwa maelfu ya watu waliathirika kwa operesheni ile ..sisi wengine tulikuwepo na tuliona ingawa tulikuwepo wadogo..baba yangu alikuwa na nyumba nzuri kwa kiwango chake imeezekwa bati na ikabomolewa ili kutoa bati...miaka hiyo kukawa pia na operesheni maduka ili kuanzisha maduka ya ushirika...huko vijijini maduka ya watu binafsi mengi yakatoweka na bidhaa kuadimika...Mambo yakawa mabaya zaidi baada ya Vita na Uganda from 1978 to 1983 bidhaa hamna madukani shelves are empty tunapanga foleni kununua sukari, sabuni, Michelle na unga was njano maarufu Kama unga was Yanga...tulikuwepo na ration cards..kukawa na ulanguzi miubwa wa bidhaa ...akaja Sokoine kama wazuri mkuu akaanzisha operesheni ulanguzi...watu wakanyang'anywa nyumba wengine wakaziachia wenyewe nyumba zilizojengwa kwa dhuluma, watu wakazitupa tv baharini, wakatupa na fedha za wizi...Sokoine akiwa Waziri Mkuu akaruhusu watu binafsi kuleta bidhaa..kukawa na daladala za chai maharage, maduka binafsi yakashamiri...
halafu akaja Mwinyi mwaka 1985 maarufu Kama mzee was Ruksa...huyu Mambo yakawa mazuri ...akaruhusu karibu Kila kitu..watu wachache wakatajirika Azimio la Arusha likazikwa kule Zanzibar 1992..viongozi wakaruhusiwa kuwa na hisa kwenye makampuni..viongozi wakajitajirisha kwa wizi wa Mali za umma...akasaini mkataba na IMF..matibabu bure yakatoweka, ada za shule na vyuo ziksja ikawa hakuna elimu bure...Mdudu SAP akatawala kwenye maisha yetu..dezo hakuna Tena...1995 akaja Ben huyu naye akaja na yake...mashirika yakauzwa ingawa hili lilisnza kwa Mwinyi..watu wakanunua mashirika kwa bei POA....Ben akakazania kulipa madeni ya nje ili tuendelee kukopesheka...watu wakaumia lakini tumaendelea kipa madeni ya enzi za Mwinyi na Nyerere..tukapata kinachoitwa heshima kwa mabeberu na ' wakatupenda' kwa kuwa eti tunalipa madeni...MIKATABA YA MADINIikasainiwa, wakaja sijui Net group solutions ambao ni makaburu wa Afrika Kusini kuja kuongoza TANESCO wafanyakazi wakagoma FFU wakaja na kuwapiga viluvyo hao wafanyakazi ..makaburu yakai ngizwa kwa nguvu pale TANESCO na yakafanya yao na miaka michache yaliyokaa hapa nusura yakaushe mabwawa ya Mtera...Jambo pekee tunalokumbuka kwa mijamaa hiyo ni LUKU...mwaka 2015 akaja JK na nguvu mpya, Kasi mpya na Ari mpya..alingia kwa kura nadhani karibu asilimia 85 lakini 2000 kwenye kipindi chake Cha pili akapata juu kidogo ya asilimia 60...JK Kama wakio tangulia alifanya mazuri lakini matajiri na mabeberu wakafaidi vilivyo...watu wakawa hawalipi Kodi..fedha ikawa inatawala je unanijua Mimi ni Nani ikawa inatawala....

Akaja JPM akarudisha heshima ya Mtanzania wa kawaida .Mtanzania wa kaida akajiona kuwa kumbe naye Ana thamani katika nchi yake...MIKATABA ya madini ikasainiwa upya...Watanzania wakaambiwa nchi siyo maskini ila tunaibiwa na mabeberu na vibaraka wao wa ndani...dah..mabeberu wakakasirika na vibaraka wao wa ndani wakiwemo wafanyabiashara wa ndani wakakasirika..wezi wa Mali za umma wakakasirika...wapiga dili wakanuna Watanzania was kawaida wakafurahi..miundombinu Kama barabara madaraja yakajengwa, elimu bure ikarudi polepole kwa awamu, wapiga dili wakaumbuliwa hadharani akaunti za wapiga dili zikashikiliwa, viongozi wabovu wakaumbuliwa, wafanyakazi hewa karibu 20000 wakafurushwa nchi jirani waliokuwa wakituonea kiuchumi wakaipata...dah..JPM ..Baadhi wanaofurahia ...
stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
 
uharo baba yako aliyekuzaa mbwa wewe huna akili ya kumdharau hayati
 
[QUOTE="Retired, post: 39035268, member: 376984" usimtukane mtu toa hoja yako
 
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Ole Sabaya kakulia Serengeti kwetu wakati baba yake Thomas Ole Sabaya akiwa Dc wa Serengeti. Babake alikua muuaji na mtu aloumiza watu wengi sana, so mtoto kafuata nyayo za babake! Babake aliwahi kuchoma nyumba za wananchi wa kijiji cha Nyamuma akidai wamejenga hifadhini na ni raia wa Kenya. Baada ya kuzichoma huku wengine wakifia humo aliwasomba na magari kuwapeleka mpakani na kuwabwaga huko akidai si watanzania! Serikali ya Kenya ikawakataa na kuwapa masaa waondoke upande wa Kenya maaa haiwatambui. Alifikishwa tume ya haki za binadamu ambapo alitiwa "hatiani" na kuamriwa serikali iwalipe fidia milioni 800 na kuwarejesha maeneo yao. Tume ya haki za binadamu ikamfungulia mashtaka mahakama kuu lakini mpaka leo jaji wa kusikiliza kesi hiyo hajapangwa! Imagine tangu utawala wa Mkapa mpaka leo? Akahamishiwa Songea akampiga makofi katibu tarafa kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa sekondari za kata, katibu tarafa akamkaba zikapigwa ndo wacha wacha ya Ocd ikaamua ugomvi! Akafikishwa kamati ya maadili ya ccm akatiwa hatiani kwa kosa la kupigana hadharani, badae Kikwete katika badilishabadilisha ya madc akamtupia virago! Ikumbukwe kabla ya kua Dc Serengeti alikua mwenyekiti wa halmashauri ya Arumeru ambako wananchi walimkataa wakaandamana wakachoma nyumba yake kwa kupandisha kodi ya maendeleo ( kichwa) kutoka 3000 mpaka 5000 bila kushirikisha mtu! Akajiuzulu, Sumaye akiwa waziri mkuu akampa pande la udc ( yeye na Sumaye wameoa mji mmoja)
 
That is why I am
stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
That is why I am telling you that you are very very very stupid person...anayesema kuwa amfuate kwenye kaburi mtu aliyekufa siyo kwamba ni stupid tu nali pia pia ni idiot, mshenzi na animal...pia ana vimelea vya ugaidi...wewe unaweza kuwa ni terrorist unayefurahia vifo vya wengine...wewe inabidi ufuatiliwe na vyombo vya dola..ni mtu hatari kabisa...
 
Stupid aliyekuzaa, narudia. Mfuate umbusu kaburini huko mshenzi mwenzako , muuaji mwenzako, mwizi mwenzako. Jitu limeua maelfu ya wasio na hatia bado unalitetea. You are an accomplice of Jiwe. Uliwahikusema hivyo eti vyombo vya dola, mlizoea kuua watu. CCM mwenzenu hayo ameyakataa. Mfuate kaburini, kunywa sumu ufe umfuate mpenzi wako
 
Kwenye mabadiliko ya Sheria ya Kinga za viongozi ya mwaka 2019 Bunge lilipitisha kinga ya kutoshtakiwa kwa AG, DPP, Spika na Naibu Spika.

Ndiyo maana unaona kule Bungeni Ndugai anasigina taratibu za Bunge kama anavyotaka.

Rais SSH amefanya kazi kubwa kwa kusikia kilio cha wengi walionyanyaswa na Biswalo Mganga mdiyo maana kamtoa kwenye ile nafasi yenye nguvu kuliko mtu yeyote katika Tanzania kwenye eneo la mashtaka.

Rais ametufungulia mwanga, ikiyobaki ni kwetu kumalizia. Tunaweza kufanya kifuatacho;

"Asasi za kiraia zifungue kesi Mahakamani baada ya kuwasiliana na watuhumiwa ambao walibambikizwa kesi na kisha kutoa fedha ambazo Biswalo alichukua binafsi"
 
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Usijali. Kila kitu kina mwanzo. Msitari ni mrefu (Ndugai inclusive). Wote lazima watalipa; kama siyo leo ni kesho.
 
A stupid comment from a very very very stupid person and who deserves no respect at all...may be you don't know the history of how this belived country has been governed from one administration (phase) to another...Sasa nitakuambia;. Wakati was uongozi was Baba was taifa Mwalimu Nyerere kulikuwepo na malalamiko mengi pia kwa maamuzi yaliyofanywa kwa Nia njema...kulikuwepo na operesheni vijiji mwaka 1973, 1974 na 1975..watu wakahamishwa kutoka maju bani mwao, wakachomewa nyumba na hata mazao njaa kubwa ijatokea nchini mwaka 1974..maelfu kwa maelfu ya watu waliathirika kwa operesheni ile ..sisi wengine tulikuwepo na tuliona ingawa tulikuwepo wadogo..baba yangu alikuwa na nyumba nzuri kwa kiwango chake imeezekwa bati na ikabomolewa ili kutoa bati...miaka hiyo kukawa pia na operesheni maduka ili kuanzisha maduka ya ushirika...huko vijijini maduka ya watu binafsi mengi yakatoweka na bidhaa kuadimika...Mambo yakawa mabaya zaidi baada ya Vita na Uganda from 1978 to 1983 bidhaa hamna madukani shelves are empty tunapanga foleni kununua sukari, sabuni, Michelle na unga was njano maarufu Kama unga was Yanga...tulikuwepo na ration cards..kukawa na ulanguzi miubwa wa bidhaa ...akaja Sokoine kama wazuri mkuu akaanzisha operesheni ulanguzi...watu wakanyang'anywa nyumba wengine wakaziachia wenyewe nyumba zilizojengwa kwa dhuluma, watu wakazitupa tv baharini, wakatupa na fedha za wizi...Sokoine akiwa Waziri Mkuu akaruhusu watu binafsi kuleta bidhaa..kukawa na daladala za chai maharage, maduka binafsi yakashamiri...
halafu akaja Mwinyi mwaka 1985 maarufu Kama mzee was Ruksa...huyu Mambo yakawa mazuri ...akaruhusu karibu Kila kitu..watu wachache wakatajirika Azimio la Arusha likazikwa kule Zanzibar 1992..viongozi wakaruhusiwa kuwa na hisa kwenye makampuni..viongozi wakajitajirisha kwa wizi wa Mali za umma...akasaini mkataba na IMF..matibabu bure yakatoweka, ada za shule na vyuo ziksja ikawa hakuna elimu bure...Mdudu SAP akatawala kwenye maisha yetu..dezo hakuna Tena...1995 akaja Ben huyu naye akaja na yake...mashirika yakauzwa ingawa hili lilisnza kwa Mwinyi..watu wakanunua mashirika kwa bei POA....Ben akakazania kulipa madeni ya nje ili tuendelee kukopesheka...watu wakaumia lakini tumaendelea kipa madeni ya enzi za Mwinyi na Nyerere..tukapata kinachoitwa heshima kwa mabeberu na ' wakatupenda' kwa kuwa eti tunalipa madeni...MIKATABA YA MADINIikasainiwa, wakaja sijui Net group solutions ambao ni makaburu wa Afrika Kusini kuja kuongoza TANESCO wafanyakazi wakagoma FFU wakaja na kuwapiga viluvyo hao wafanyakazi ..makaburu yakai ngizwa kwa nguvu pale TANESCO na yakafanya yao na miaka michache yaliyokaa hapa nusura yakaushe mabwawa ya Mtera...Jambo pekee tunalokumbuka kwa mijamaa hiyo ni LUKU...mwaka 2015 akaja JK na nguvu mpya, Kasi mpya na Ari mpya..alingia kwa kura nadhani karibu asilimia 85 lakini 2000 kwenye kipindi chake Cha pili akapata juu kidogo ya asilimia 60...JK Kama wakio tangulia alifanya mazuri lakini matajiri na mabeberu wakafaidi vilivyo...watu wakawa hawalipi Kodi..fedha ikawa inatawala je unanijua Mimi ni Nani ikawa inatawala....

Akaja JPM akarudisha heshima ya Mtanzania wa kawaida .Mtanzania wa kaida akajiona kuwa kumbe naye Ana thamani katika nchi yake...MIKATABA ya madini ikasainiwa upya...Watanzania wakaambiwa nchi siyo maskini ila tunaibiwa na mabeberu na vibaraka wao wa ndani...dah..mabeberu wakakasirika na vibaraka wao wa ndani wakiwemo wafanyabiashara wa ndani wakakasirika..wezi wa Mali za umma wakakasirika...wapiga dili wakanuna Watanzania was kawaida wakafurahi..miundombinu Kama barabara madaraja yakajengwa, elimu bure ikarudi polepole kwa awamu, wapiga dili wakaumbuliwa hadharani akaunti za wapiga dili zikashikiliwa, viongozi wabovu wakaumbuliwa, wafanyakazi hewa karibu 20000 wakafurushwa nchi jirani waliokuwa wakituonea kiuchumi wakaipata...dah..JPM ..Baadhi wanaofurahia ...
Pole. Wote wawili mnaonekana sawa mbele yetu (you all look equal).
 
Back
Top Bottom