Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

Utajuta wewe na umeshaanza kujuta. Watanzania tunasonga mbele. Piga chini Jiwe, poha chini Bashiru, Piga chini SLOWSLOW piga chini sabaya. Leo IED imenoga vibaya mno.
Najuta kwa lipi? tulieni soon mtaaijua nguvu ya Umma mash.oga na wauza ngada nyie, mjiandae kuenjoy the show.
 
Pole pole ndiyo mwendo... Kila mmoja atapata dawa yake...
 
Ngosha, tatizo la mwendazake alikuwa mbaguzi, alileta ukabila na ukanda.
Hakukuwa na utawala wa sheria, watu walidhulumiwa mno mno.
watu waliumizwa sana na 'kupotezwa'
Alipora hadi haki za wapiga kura nchi nzima!
Kwa ufupi ukichaa ulitawala.
 
Ngosha, tatizo la mwendazake alikuwa mbaguzi, alileta ukabila na ukanda.
Hakukuwa na utawala wa sheria, watu walidhulumiwa mno mno.
watu waliumizwa sana na 'kupotezwa'
Alipora hadi haki za wapiga kura nchi nzima!
Kwa ufupi ukichaa ulitawala.
1954 huwa havioni hivyo, anamtetea Jiwe kila katka andiko lake...................very likely 1954 ni msukuma. Anamtetea mkabila mwenzake. Lakini ajue jiwe siyo msukuma alizaliwa na baba wa Kihaya ... all in all as long as amejitambulisha kama Msukuma , well and fine. Jiwe ameangamiza nchi hii. Kwanini majority walishangilia kifo chake? Ingelikuwa siyo kuogopa nchi ingelilipuka kwa shangwe.... lilipuka kimya kimya....
 
stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
 
stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika

uharo baba yako aliyekuzaa mbwa wewe huna akili ya kumdharau hayati
 
[QUOTE="Retired, post: 39035268, member: 376984" usimtukane mtu toa hoja yako
 
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Ole Sabaya kakulia Serengeti kwetu wakati baba yake Thomas Ole Sabaya akiwa Dc wa Serengeti. Babake alikua muuaji na mtu aloumiza watu wengi sana, so mtoto kafuata nyayo za babake! Babake aliwahi kuchoma nyumba za wananchi wa kijiji cha Nyamuma akidai wamejenga hifadhini na ni raia wa Kenya. Baada ya kuzichoma huku wengine wakifia humo aliwasomba na magari kuwapeleka mpakani na kuwabwaga huko akidai si watanzania! Serikali ya Kenya ikawakataa na kuwapa masaa waondoke upande wa Kenya maaa haiwatambui. Alifikishwa tume ya haki za binadamu ambapo alitiwa "hatiani" na kuamriwa serikali iwalipe fidia milioni 800 na kuwarejesha maeneo yao. Tume ya haki za binadamu ikamfungulia mashtaka mahakama kuu lakini mpaka leo jaji wa kusikiliza kesi hiyo hajapangwa! Imagine tangu utawala wa Mkapa mpaka leo? Akahamishiwa Songea akampiga makofi katibu tarafa kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa sekondari za kata, katibu tarafa akamkaba zikapigwa ndo wacha wacha ya Ocd ikaamua ugomvi! Akafikishwa kamati ya maadili ya ccm akatiwa hatiani kwa kosa la kupigana hadharani, badae Kikwete katika badilishabadilisha ya madc akamtupia virago! Ikumbukwe kabla ya kua Dc Serengeti alikua mwenyekiti wa halmashauri ya Arumeru ambako wananchi walimkataa wakaandamana wakachoma nyumba yake kwa kupandisha kodi ya maendeleo ( kichwa) kutoka 3000 mpaka 5000 bila kushirikisha mtu! Akajiuzulu, Sumaye akiwa waziri mkuu akampa pande la udc ( yeye na Sumaye wameoa mji mmoja)
 
That is why I am
stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
That is why I am telling you that you are very very very stupid person...anayesema kuwa amfuate kwenye kaburi mtu aliyekufa siyo kwamba ni stupid tu nali pia pia ni idiot, mshenzi na animal...pia ana vimelea vya ugaidi...wewe unaweza kuwa ni terrorist unayefurahia vifo vya wengine...wewe inabidi ufuatiliwe na vyombo vya dola..ni mtu hatari kabisa...
 
Stupid aliyekuzaa, narudia. Mfuate umbusu kaburini huko mshenzi mwenzako , muuaji mwenzako, mwizi mwenzako. Jitu limeua maelfu ya wasio na hatia bado unalitetea. You are an accomplice of Jiwe. Uliwahikusema hivyo eti vyombo vya dola, mlizoea kuua watu. CCM mwenzenu hayo ameyakataa. Mfuate kaburini, kunywa sumu ufe umfuate mpenzi wako
 
Kwenye mabadiliko ya Sheria ya Kinga za viongozi ya mwaka 2019 Bunge lilipitisha kinga ya kutoshtakiwa kwa AG, DPP, Spika na Naibu Spika.

Ndiyo maana unaona kule Bungeni Ndugai anasigina taratibu za Bunge kama anavyotaka.

Rais SSH amefanya kazi kubwa kwa kusikia kilio cha wengi walionyanyaswa na Biswalo Mganga mdiyo maana kamtoa kwenye ile nafasi yenye nguvu kuliko mtu yeyote katika Tanzania kwenye eneo la mashtaka.

Rais ametufungulia mwanga, ikiyobaki ni kwetu kumalizia. Tunaweza kufanya kifuatacho;

"Asasi za kiraia zifungue kesi Mahakamani baada ya kuwasiliana na watuhumiwa ambao walibambikizwa kesi na kisha kutoa fedha ambazo Biswalo alichukua binafsi"
 
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Usijali. Kila kitu kina mwanzo. Msitari ni mrefu (Ndugai inclusive). Wote lazima watalipa; kama siyo leo ni kesho.
 
Pole. Wote wawili mnaonekana sawa mbele yetu (you all look equal).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…