Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
Kubishana na jitu zuzu litakupandisha hasira bure! Kama mtu anaweza kusema hadharani kuwa mwendazake alikuwa mtu bora unahaja gani ya kuendelea naye majadiliano wakati kajitangaza yeye mwenyewe kuwa ni mpuuzi na mshabiki maandazi?
Hivi hawaoni jinsi hata aliyekuwa makamu wake anavyo m preempty hata siku 60 hazijapita? Bado kidogo tuu atasimama jukwaani ataita baadhi ya mambo yalikuwa ujinga
 
Kauliza hivi, umeona umati wa watu kwenye mazishi ya jpm?
Nimecheka kidogo nicheue biriani langu la Iddi. Huyu mtu nadhani haelewi kitu gani kilikuwa kinafanyika au ni old fashion person.
Ukiuliza Dodoma na Mwanza nini kilitokea ndio utajua jinsi kuaga mwili huo wa jamaa shughuli ilivyokuwa inapigiwa promo na ma RC na DC kama Haji Manara anavyo inadi mechi ya Simba.
Kwa hali ya wa TZ hawa ambao wamenyimwa ajira na mitaji watakosa kujaa kuona burudani hiyo ya bure?
 
Kama ume-block message sent...you are a coward...Mimi sijakutukana ...nimekuita mpumbavu na mshenzi ..hizi ndizo sifa zako...kuandika kuwa nimfuate JPM kaburini ndiyo upumbavu na ushenzi wenyewe...ni ugaidi...wewe una vimelea vya ugaidi pia.
 
Kama ume-block message sent...you are a coward...Mimi sijakutukana ...nimekuita mpumbavu na mshenzi ..hizi ndizo sifa zako...kuandika kuwa nimfuate JPM kaburini ndiyo upumbavu na ushenzi wenyewe...ni ugaidi...wewe una vimelea vya ugaidi pia.
coward mama yako
 
Kwani Mh. SSH hawezi kutengua kama alivyilofanya kwa Mkurugezi wa TPDC
Mkuu sema Afrika tuna shida why asijiuzulu makelele yote unapata wapi utulivu wa nafsi ,maana kazi yenyewe inageuka laana kwako ,familia ,simple solution is just to step down, ila Sasa ngonzi nyeuzi inang,ang,ana mpaka tone la dam ya MWISHO ,sijui nikuogopa maisha ya uraian, sababu ya kuzoea vya Bule! Mtu kama DPP kweli anaweza kosa kazi ya kufanya mtaani na kuishi vizuri bila kazi ya serikali?
 
coward mama yako
Haaaa ndiyo unaishia hivyo? Huna hoja zaidi? kwa comment yako Hii ya Sasa bila Shaka you are under 20...next time usirudie kubishana na watu wanaoijua vizuri nchi Hii..usikurupuke tena ....bila Shaka umeupata ujumbe...tuendelee kuijenga nchi...Kila awamu ya uongozi ilikuwa na mazuri na mabaya yake...kwa Sasa tumuunge mkono Mama Samia..Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu...tumuombee aongoze kwa amani na kutupeleka mbele kimaendeleo...tuwaombee pia washauri wake wamshauri vizuri...umesikia dogo?
 
I
I gree with your analyses partly. Though reading through each word sentence and paragraph, I find a lot of truth and equally some sort of biases in your presentation.

The thing that is missing and clear in your presentation is that you failed to say that we are failing as a nation because we lack continuity from regime to another on important national matters.

You blamed the first to the fourth face governing regimes. But seems in our to applause the 5th government regime. We also expected in your analysis to have shed some light on the darker side of this regime that in away you seem to embrace.

My take is unless we desist from supporting government regimes because are beneficiaries in away, then, let us get prepared for a tight tag of war that will never give us consensus on national matters.

The only way forward is to fight for constitutional changes and make sure that all
important matters of national development are prescribed therein.

One this issue succeeds then a leader will have limited options to persue his or her own path other than the one prioritise in the national goals. The political parties manifesto will by and large focus on the prescribed national goals.
 
Ok ok ok comrade...yours is a positive contribution...I did that purposefully...mine was an answer to those guys who think the fifth phase government was the worst govnt ever ...I was trying to remind them that even the past presidents made mistakes...
 
But I think they were just reminding us that mistakes are usually made by human beings. Some people make faults out of good will. The same thing may have taken place in various regimes either deliberately or just by bad luck.


Therefore let us count on our leaders successes and stop pegging on their mistakes.

This kind of thinking will provide us energy to move on as children of Tanzania taking into consideration that our mother Tanzania is still a young nation less than a century old.
 
Tumesha sahau kuhusu maendeleo na kutatua kero za wananchi..............................wacha tuendelee kwanza kuchonga na kutengeneza majungu na fitina....
bandika....... bandua....... ...............tukija kushituka 2025 hiii hapa!!!

sisi wananchi hatutokuwa na msamaha kwa yeyote yule aliye chezea na kupoteza muda wa maendeleo ya wanchi.
 
Sure sure..of course to a great extent you are right..but, you should correct your usage of concepts/words/terms..regime is an imperiliast word used to some govnts/countries not friendly to them .better use administration rather than regime...Have you ever heard people talking about an American regime? The word is mostly used to many third world countries..
 
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Kwa Biswalo ndio sahau kabisa! Huyo mwenzio ni Jaji. Kesho anaapishwa na hapo anakuwa "untouchable". CCM kivingine chini ya Mama!!!
 
Uko sahihi mkuu nchi yetu ina watu waoga wa maisha na full kujipendekeza hawawezi kufanya mambo ya taaluma zao
 
This just semantics and it all depends on where you went to school. My advise to you is, just concentrate on the context of the matter at hand and not otherwise.
 
dunia nzma inalaani jitu katili yeye anasema alikuwa mtu bora, kweli muda mwingine ni ku ignore mtu unapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…