Bado haijawekwa wazi kama Serikali hii ni ya awamu ya 5 au 6?

Bado haijawekwa wazi kama Serikali hii ni ya awamu ya 5 au 6?

Bwashe wazawa wanammiss jpm wameniambia nkupe salam

Ova
Mzee Mgaya alienda Chato kuwafariji bwashee.

Kila zama na kitabu chake.........Hakuna aliyejua leo wabunge wote 20 wa Chadema watampigia kura Dr Mpango bila kupata ruksa ya Freeman!
 
Ndo hivyo tena ila poleni mtazoea tu, anzeni kujipenyeza upya.... chawa mkuye na mbinu mpya.
Ukiwa CCM huna haja ya kujipenyeza kwa sababu kila unapogusa ni fursa kama huamini muulixe David Silinde na Patrobas Katambi wa Chadema!
 
Honestly nimechoka na wanaoluliza suali hili la awamu na amiri jeshi. Does it matter kama ni awamu ya sita au ya kumi? Muhimu raisi tulie nae ni rais wa sita wa serikali ya Jamhuri ya muungano.

Sioni ni kwa nini iwe lazima serikali iseme hiii ni awamu gani na ndio wananchi waweze kutowa maoni yao juu ya rais Samia. Manoni ni juu ya uwozo wa kazi wa raisi na sio awamu gani ameongoza.
 
Mzee Mgaya alienda Chato kuwafariji bwashee.

Kila zama na kitabu chake.........Hakuna aliyejua leo wabunge wote 20 wa Chadema watampigia kura Dr Mpango bila kupata ruksa ya Freeman!
Bunge la sasa ni la MANYANI ,hakuna upinzani bungeni ,wale covid19 ni CCM D ndio maana mpango kapata 100%.
 
Kwa uelewa wangu hii ni awamu ya sita. Awamu nadhazi haifuati miaka ambayo rais ameongoza bali inafuata idadi ya marais waliyoshinda uchaguzi. Mwalimu Nyerere aliongoza zaidi ya miaka 10 na bado iliitwa awamu ya kwanza. Na hata Lisu kama angeshinda uchaguzi wa mwaka 2020 angekuwa rais wa awamu ya sita.
 
Taga acha udwanzi, acha sisi wenye Rais wetu tufurahi. Nyie wenye mwendazake endeleeni kuhesabu awamu

Hawa WAGANGA NJAA wana shida kweli kweli mara hii badala ya kufanya kazi wanafikiria nani atakuwa mgombea 2025!!! Hawa watu wa ajabu sana kila wakati wanafikiri kwa matumbo yao.
 
Fanya research kidogo. Ukishajua Zanzibar kuna awamu ngapi todate, jibu utakuwa umeshalipata
 
Awamu ya tano tushaizika tangu tar 26/3, hiki ni kishindo cha serikali ya awamu ya sita chini ya konk fire maza samia suluhu!!
 
AWAMU MPYA INAHESABIKAJE, WADAU TUJADILI HILI.

Na Bashir Yakub.
+255 714 047 241

Wadau, hii ni awamu ya sita ama awamu ya tano kipindi cha pili.

Kwani awamu inahesabikaje, je kila akiingia rais mpya ni awamu mpya, ama kila baada ya miaka 10 ndio awamu mpya huja.

Nikiri mapema kuwa katika Katiba hakuna kitu kinaitwa AWAMU, bali kuna ukomo wa nafasi ya urais baada ya miaka kumi.

Nimemsikia Madam Samia leo akiita hii awamu ya sita, yumkini tusimjali sana kwani naye aweza kuwa amekosea ama amepatia. Sisi tujadili tu.

Mpaka sasa wapo wanaoamini kuwa hii ni awamu ya tano lakini kipindi cha pili, hali wengine wakiamini hii ni awamu ya sita.

Wanaoamini hii ni awamu ya tano kipindi cha pili imani yao imefungamana na kipindi cha kikatiba cha rais cha ukomo wa miaka 10.

Maana ya hawa ni kuwa, ndani ya kipindi cha miaka 10 ambayo ni awamu, inaweza kuongozwa na rais zaidi ya mmoja kama ilivyotokea sasa.

Kadhalika, wale wanaoamini hii ni awamu ya sita imani yao imefungamana na kwamba kila rais anatembea na awamu yake, yaani rais mpya awamu lazima nayo iwe mpya.

Ashakum si matusi, neno awamu hutumiwa zaidi na wanaccm, mnakumbuka hata zile nyimbo za Komba. Hata hivyo si neno leo.

Sasa tujadili, hii ni awamu ya tano kipindi cha pili, ama awamu sita.
 
Hii ni awamu ya sita.

Fikiria kama Lisu angeshinda mwezi ule wa kumi tungesemaje?

Usitufokee jamani hii ni awamu ya sita tena ya mama
 
Back
Top Bottom