Diamond amefanya yake na amefanikiwa kwa kiasi. Nawe fanya yako watu waje kukujadili.Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda???
Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube
Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu??
Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia
Mbona unamuuliza swali nje ya mada?Vipi ulipata ajira?
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?
Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube
Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu?
Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia
Wewe unawerevu gan mkuu?Mbona unamuuliza swali nje ya mada?
Huo ni ujinga dalili za mwanzo.
Wasanii gani hao walikua kimya maana kina marioo, harmonize, alikiba, jay melody hadi chino wana man walikua wanaendelea kushusha ngoma.Trending za Bongo nani Anaongoza????
Siku mondi akiacha MZIKI pia bongo fleva itakufa
Coz mondi alikuwa kimya ...... wasanii walikua kimya .....Baada ya kuibuka ndipo wameibuka pia
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama Diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?