Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama Diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?

Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube

Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu?

Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia
 
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda???

Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube

Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu??

Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia
Diamond amefanya yake na amefanikiwa kwa kiasi. Nawe fanya yako watu waje kukujadili.

Otherwise unapoteza muda
 
Manyimbo yenyewe ni amapiano?

Mashabiki vichwa vigumu kama wa huyu bwana na wale wa team ya simba kuwaelewesha unatwanga majina tu
 
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?

Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube

Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu?

Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia

Diamond Ku drop sio ajabu..
Ajabu ni kukosa msanii mwingine level ya Diamond...

Wenzetu Davido Ka drop Wana burna boy...Wana rema na wengineo...
Sisi Diamond akipotea tunao wengine wako wapi?au Chino ndo superstar mpya??
 
Trending za Bongo nani Anaongoza????

Siku mondi akiacha MZIKI pia bongo fleva itakufa

Coz mondi alikuwa kimya ...... wasanii walikua kimya .....Baada ya kuibuka ndipo wameibuka pia
Wasanii gani hao walikua kimya maana kina marioo, harmonize, alikiba, jay melody hadi chino wana man walikua wanaendelea kushusha ngoma.
 
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama Diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?

Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful enough amedandia ngoma ya jux ya enjoy wakati zake zimeganda tu nakujidanganyia trending za YouTube

Zamani huyu kijana nyimbo zake,ziliimbika sana mtaaani kwasasa mnaliona hilo huko kwenu?

Lile,biti alilopiga la kukaa trending ilikua ni indicator bosss amefulia

Kwa nini tutafute mwisho wake? Tunamwombea mema na hivyo tunakuwa positive.
 
Back
Top Bottom