Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

Diamond Ku drop sio ajabu..
Ajabu ni kukosa msanii mwingine level ya Diamond...

Wenzetu Davido Ka drop Wana burna boy...Wana rema na wengineo...
Sisi Diamond akipotea tunao wengine wako wapi?au Chino ndo superstar mpya??
Shilole
 
Huyu mjomba kuna watu hawampendi sijui kwasababu gani. Maana sio humu tu, huko kitaa nina washkaji wanamchukia kinoma. Kuna siku kijiweni kuna mtu kaanzisha story za Diamond, mwingine akadakia akasema, malaya tu yule. Na wengine waliongezea madongo mi nikabaki kucheka tu.
 
Kwa hali ilivyo nadhani Diamond bado yupo sana kwenye hili game la mziki TZ. Maana msela kwasasa ni Topic inayojadiliwa kila Kona na ni navyoona Jamaa wanajifanya kumchukia ili wapate kiki na wamefanikiwa waliojaribu.
 
Huu ndio uhalisia sababu ukizungumzia kukopy hyo ngoma hizi ni projo tu maana ukiangalia kabla ya kuirudia hii ngoma na chike aliitoa ya kwake mwenyewe lkn kwakuwa haikwenda mji ulikuwa kimya huu. #Bongonyosofanikiwa jitume fanikiwa tukusimange na usijitume lete uvivu uone km utabaki salama
 
Halafu na yeye alitoa ngoma mbili zuwena na yatapita ila nashangaa anasema alikaa kimya mda mrefu. Ngoma zake mpya hazisikiki kaamua kua chawa wa jux [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimesikia nyimbo yake iko namba one,au wale kina Baba Levo,Wasafi FM wanampendelea Diamond?
 
Back
Top Bottom