Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana mizinguo ndani ya wiki 3 una mzigoVp ukiachana na hiyo changamoto je kabla ya hapo hawa sio wasumbufu kutuma mizigo yao au niseme hawana utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jfTangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China.
Ila zilizokuwa njiani zimefika.
Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote.
Mwenye taarifa tafadhali
Bado wanatuma mkuuTayari .
Huku sio kulalamika.
Tofautitofautisha kulalamika na kuuliza.
Wamenijibu na mzigo nimepata