Bado Kikuu wanatuma mizigo?

Bado Kikuu wanatuma mizigo?

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
2,169
Reaction score
3,297
Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China.
Ila zilizokuwa njiani zimefika.

Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote.
Mwenye taarifa tafadhali
 
Si

uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jf
 
Back
Top Bottom