Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je uliwahi kushuhudia kwa macho yako akikuchinja au uliambiwa tu na wanasiasa uchwara?Kwani jpm alikuwa mzalendo au mchinjaji. Umeshawahi sikia jk nyenere alichinja mtu
Sio kosa lako, kosa ni la wanasiasa uchwara, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na mateja wao ndio waliokufanya uamini hivyo.Kichefuchefu ht kusoma.
Nimeishia kusoma heading tu mana najua humo ndani utakuwa umejaza ibada za wafu na kuliabudia lile shetani lenu la Chato.
Ashukuriwa sana Mungu Mkuu kutuondoshea mbali jinamizi lile
Mtu alieiba au kuibiwa anaonekana tu mjombaMzalendo mshenzi mkubwa yule aliyetishia tusichague upinzani kisa eti hatopeleka Maendeleo na kuwachimba biti maDED wasimtangaze mpinzani kuwa ameshinda
Mbona huwa kuna mawaziri wengi tu wanakula mishahara bila kufanya kazi yoyote waliopewa na mamlaka.Ukimpenda kiongozi ndo mkewe Mwalimu wa Upe awe waziri WA elimu?
Seriously??
What are you talking about bro?Ni kweli, ila sasa..
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Shetani hatuwezi kumuenziHabari zenu wana JF wenzangu
Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama mzalendo namba mbili baada ya hayati mwl Nyerere.
Ninapozungumzia wazalendo namaanisha mtu au wale watu ambao wana mapenzi ya dhati kwa nchi zao, yani upendo uliopitiliza kiasi kwamba wapo tayari kupoteza chochote including their life kwa ajili ya nchi yao.
Nchi yetu toka tupate uhuru tumefanikiwa au kubarikiwa kuwa na wazalendo wachache sana (ukiachana na wale wazalendo wa kujitengeneza au kutengenezwa na kundi la wapambe wake). Mzalendo wa kweli hupatikana by nature.
Yani mtu anazaliwa akiwa tayari amepewa moyo wa kizalendo, anasoma akiwa na moyo wa kizalendo, anapata uongozi wa nchi, wizara, chama au kitengo fulani akiwa na moyo wa kizalendo, anapambana na changamoto mbalimbali zikiwemo zile zinazo cost maisha yake akiwa na moyo wa kizalendo na matokeo yake anastaafu au hata kufa akiwa na moyo ule ule wa kizalendo.
Hapo chini ni list ya sita bora ya wazalendo wa kweli niliowakubali nchini kwetu.
1. Mwl Julius K. Nyerere
2. Dr John P. Magufuli
3. Hayati Sokoine
4. Bibi Titi Mohammed - japo huyu hakudumu serikalini muda mrefu, lkn juhudi zake za mapambano kwa nchi yake dhidi ya mkoloni na maadui wengine wa taifa zinampa uhalali wa kuwa miongoni mwa wazalendo wa kweli.
5. Kambona.
6. Kawawa.
Na siku zote mzalendo wa kweli huonekana kwa matendo yake, maneno yake na uongozi wake.
Mwl Nyerere kwa vile alikuwa mzalendo wa bara lake na nchi yake, aliwahi kukumbana na vikwazo mbali mbali vya ndani na nje ya nchi yake, ikiwemo wabaya wake wa ndani na nje kupanga mapinduzi mara mbili dhidi ya utawala wake. Lakini kwa vile alikuwa mzalendo wa kweli, hakuogopa mapinduzi hayo, bado alisimama imara kwa ajili ya taifa lake na wananchi wake, na kamwe hakuwahi kubadili misimamo yake hadi siku ya kufa kwake.
Ndio maana leo hii popote pale iwe ndani ya nchi au nje ya nchi tunapozungumzia wazalendo wa kweli wa bara letu na nchi zetu basi mwl Nyerere huwa hakosi katika list za mwanzo.
Nije sasa katika mada.. binafsi namuona hayati Magufuli kuwa mzalendo namba mbili kutokana.. maneno yake, matendo yake na uongozi wake katika nchi yetu.
1. Magufuli alipambana kwa ajili ya nchi yake, bila kujali athari ya kupoteza uhai wake.
2.Magufuli aliweka bond maisha yake, ili kuleta maendeleo ya kweli katika taifa lake.
3. Magufuli alisimama kidete kutetea uhai, na uhuru kamili wa nchi yake.
4. Kwa muda mfupi wa uongozi wake tumeweza kuona hatua kubwa ya maendeleo imepigwa kupitia uongozi wake.
Kama mimi ningekuwa raisi wa Tanzania, basi ningefanya mambo haya matano ili kuuenzi mchango wake mkubwa na wa dhati kabisa wa taifa letu.
1. Tarehe 17/03 ya kila mwaka ingeitwa "Magufuli day". Hata kama siku hii isingekuwa ya mapumziko, kutokana na nchi yetu kuwa na sikukuu nyingi za kitaifa na kimataifa. Mimi ningeifanya siku hii ya "half day". Yani watu wanafanyakazi hadi saa sita ofisi zote za serikali zinafungwa, huku radio na television za taifa zikionesha hotuba, historia ya maisha yake na uongozi wake kwa ujumla.
2. Ikulu ya chamwino Dodoma ingeitwa "Magufuli State House" ili kuuenzi mchango wake mkubwa uliosababisha ikulu hiyo ikajengwa chini ya uongozi wake, baada ya viongozi wa awamu ya kwanza hadi ya tano kushindwa kuijenga.
3. Ningeshauri au kupendekeza hayati Magufuli aitwe mjomba wa taifa 😀😀😀 baada ya mzalendo namba moja mwl Nyerere kuitwa baba wa taifa.
4. Ningejifunza baadhi ya mambo kutoka kwake kama vile kusimamia miradi ya kimaendeleo, kupiga vita ufisadi, kupinga rushwa kwa watoaji na wapokeaji, kufukuza wazembe, wavivu na watoro makazini.
5. Mama Janet Magufuli ningempa ubunge wa viti maalum afu ningemteua kuwa naibu waziri wa elimu, (i hope) kwa elimu na uzoefu alio nao ange fit katika nafasi hiyo.
6. Kutokana na mabadiliko makubwa ya kimiundombinu aliyoyafanya katika barabara ya Migogoro road, basi ningeibabilisha jina na kuitwa "Magufuli road" badala ya hili jina la sasa la Morogoro road.
Haya ni baadhi ya mengi ambayo ningeyafanya ili kumuenzi kiuhakika mzalendo wetu namba mbili.
Je wewe ungefanya yapi zaidi ya hayo?
RIP to wazalendo wote, pamoja na watanzania wengine waliotangulia mbele ya haki.
Eid Mubarak to all Muslims na watanzania kwa ujumla.
Yule alikuwa shetani kabisaAcha kumezeshwa propaganda zisizokuwa na msingi. Wapinzani wamepigana risasi wenyewe kwa wenyewe kutokana na kugombania madaraka ya uenyekiti.
Inamaana hata Chacha Wangwe angeuwawa katika utawala wa Magufuli pia ingesemekana kuwa Magufuli ndo kasababisha kifo chake.
Then mimi sio Sukuma Gang na wala sina chama. Ebu jipe dakika tano tu kusoma thread zangu zilizopita afu ndo urudi kuangalia kama mimi nahusika vipi na hilo kundi lenu.
Mimi sina upande bali nasimamia kwenye ukweli. Hata juzi swala la bandari nimelitolea ufafanuzi nikaitwa Samia gang na wengine wakanita chawa wa mama, sijui mzanzibar nk.
Uzi huo hapo chini 👇
Jana sifa hizo za uzalendo,labda uzarendo! Ni jambazi kama majambazi wengine tu. Alichoweza ni kuhadaa wavivu wa kufikiri.Habari zenu wana JF wenzangu
Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama mzalendo namba mbili baada ya hayati mwl Nyerere.
Ninapozungumzia wazalendo namaanisha mtu au wale watu ambao wana mapenzi ya dhati kwa nchi zao, yani upendo uliopitiliza kiasi kwamba wapo tayari kupoteza chochote including their life kwa ajili ya nchi yao.
Nchi yetu toka tupate uhuru tumefanikiwa au kubarikiwa kuwa na wazalendo wachache sana (ukiachana na wale wazalendo wa kujitengeneza au kutengenezwa na kundi la wapambe wake). Mzalendo wa kweli hupatikana by nature.
Yani mtu anazaliwa akiwa tayari amepewa moyo wa kizalendo, anasoma akiwa na moyo wa kizalendo, anapata uongozi wa nchi, wizara, chama au kitengo fulani akiwa na moyo wa kizalendo, anapambana na changamoto mbalimbali zikiwemo zile zinazo cost maisha yake akiwa na moyo wa kizalendo na matokeo yake anastaafu au hata kufa akiwa na moyo ule ule wa kizalendo.
Hapo chini ni list ya sita bora ya wazalendo wa kweli niliowakubali nchini kwetu.
1. Mwl Julius K. Nyerere
2. Dr John P. Magufuli
3. Hayati Sokoine
4. Bibi Titi Mohammed - japo huyu hakudumu serikalini muda mrefu, lkn juhudi zake za mapambano kwa nchi yake dhidi ya mkoloni na maadui wengine wa taifa zinampa uhalali wa kuwa miongoni mwa wazalendo wa kweli.
5. Kambona.
6. Kawawa.
Na siku zote mzalendo wa kweli huonekana kwa matendo yake, maneno yake na uongozi wake.
Mwl Nyerere kwa vile alikuwa mzalendo wa bara lake na nchi yake, aliwahi kukumbana na vikwazo mbali mbali vya ndani na nje ya nchi yake, ikiwemo wabaya wake wa ndani na nje kupanga mapinduzi mara mbili dhidi ya utawala wake. Lakini kwa vile alikuwa mzalendo wa kweli, hakuogopa mapinduzi hayo, bado alisimama imara kwa ajili ya taifa lake na wananchi wake, na kamwe hakuwahi kubadili misimamo yake hadi siku ya kufa kwake.
Ndio maana leo hii popote pale iwe ndani ya nchi au nje ya nchi tunapozungumzia wazalendo wa kweli wa bara letu na nchi zetu basi mwl Nyerere huwa hakosi katika list za mwanzo.
Nije sasa katika mada.. binafsi namuona hayati Magufuli kuwa mzalendo namba mbili kutokana.. maneno yake, matendo yake na uongozi wake katika nchi yetu.
1. Magufuli alipambana kwa ajili ya nchi yake, bila kujali athari ya kupoteza uhai wake.
2.Magufuli aliweka bond maisha yake, ili kuleta maendeleo ya kweli katika taifa lake.
3. Magufuli alisimama kidete kutetea uhai, na uhuru kamili wa nchi yake.
4. Kwa muda mfupi wa uongozi wake tumeweza kuona hatua kubwa ya maendeleo imepigwa kupitia uongozi wake.
Kama mimi ningekuwa raisi wa Tanzania, basi ningefanya mambo haya matano ili kuuenzi mchango wake mkubwa na wa dhati kabisa wa taifa letu.
1. Tarehe 17/03 ya kila mwaka ingeitwa "Magufuli day". Hata kama siku hii isingekuwa ya mapumziko, kutokana na nchi yetu kuwa na sikukuu nyingi za kitaifa na kimataifa. Mimi ningeifanya siku hii ya "half day". Yani watu wanafanyakazi hadi saa sita ofisi zote za serikali zinafungwa, huku radio na television za taifa zikionesha hotuba, historia ya maisha yake na uongozi wake kwa ujumla.
2. Ikulu ya chamwino Dodoma ingeitwa "Magufuli State House" ili kuuenzi mchango wake mkubwa uliosababisha ikulu hiyo ikajengwa chini ya uongozi wake, baada ya viongozi wa awamu ya kwanza hadi ya tano kushindwa kuijenga.
3. Ningeshauri au kupendekeza hayati Magufuli aitwe mjomba wa taifa [emoji3][emoji3][emoji3] baada ya mzalendo namba moja mwl Nyerere kuitwa baba wa taifa.
4. Ningejifunza baadhi ya mambo kutoka kwake kama vile kusimamia miradi ya kimaendeleo, kupiga vita ufisadi, kupinga rushwa kwa watoaji na wapokeaji, kufukuza wazembe, wavivu na watoro makazini.
5. Mama Janet Magufuli ningempa ubunge wa viti maalum afu ningemteua kuwa naibu waziri wa elimu, (i hope) kwa elimu na uzoefu alio nao ange fit katika nafasi hiyo.
6. Kutokana na mabadiliko makubwa ya kimiundombinu aliyoyafanya katika barabara ya Migogoro road, basi ningeibabilisha jina na kuitwa "Magufuli road" badala ya hili jina la sasa la Morogoro road.
Haya ni baadhi ya mengi ambayo ningeyafanya ili kumuenzi kiuhakika mzalendo wetu namba mbili.
Je wewe ungefanya yapi zaidi ya hayo?
RIP to wazalendo wote, pamoja na watanzania wengine waliotangulia mbele ya haki.
Eid Mubarak to all Muslims na watanzania kwa ujumla.
Unajua wapumbavu hawawezi kujificha na wewe ukiwemo.Acha kumezeshwa propaganda zisizokuwa na msingi. Wapinzani wamepigana risasi wenyewe kwa wenyewe kutokana na kugombania madaraka ya uenyekiti.
Inamaana hata Chacha Wangwe angeuwawa katika utawala wa Magufuli pia ingesemekana kuwa Magufuli ndo kasababisha kifo chake.
Then mimi sio Sukuma Gang na wala sina chama. Ebu jipe dakika tano tu kusoma thread zangu zilizopita afu ndo urudi kuangalia kama mimi nahusika vipi na hilo kundi lenu.
Mimi sina upande bali nasimamia kwenye ukweli. Hata juzi swala la bandari nimelitolea ufafanuzi nikaitwa Samia gang na wengine wakanita chawa wa mama, sijui mzanzibar nk.
Uzi huo hapo chini 👇
Hili sio kosa lako ni kosa la wale waliokumezesha uongo huu kwa faida zao na familia zao.Unajua wapumbavu hawawezi kujificha na wewe ukiwemo.
Alipouliwa Akwilina pale kinondoni kulikuwa na wagombania uenyekiti?
Simon Kanguye alikuwa anagombania uenyekiti?
Kazi ya polisi na vyombo vya usalama ni nini kama siyo ulinzi wa raia na mali zao? Ni hatua gani zilichukuliwa na vyombo vya ulinzi kuwabaini waliohusika na kumshambulia Lissu?
Ni nani aliyetoa zile CCTV cameras kwenye maeneo yote pale kwenye nyumba za viongozi wa serikali? Ni hao wanaogombania uenyekiti?
Tuache masihara hivi nyie sukumagang mnaamini watu ni wapumbavu kama wale vijana wenu majuha wa Lumumba unaweza kuwaambia chochote wakatoka hapo wakaimba kama makasuku? Nyie ni wajinga Hadi mnatia kichefuchefu
Kazan kusubiri labda.....Ni kweli, ila sasa..
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Siaminishwi na yeyote.Sio kosa lako, kosa ni la wanasiasa uchwara, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na mateja wao ndio waliokufanya uamini hivyo.
Eti mkichagua upinzani sileti maendeleo.Mtu alieiba au kuibiwa anaonekana tu mjomba
Wamshangaa mwenzio huyo keshavurugwa na bandariWhat are you talking about bro?
Did you read properly kile kilichoandikwa kwenye mada husika? [emoji116]
Kutawala ni jaribu kubwa hata Daudi alichinja watu.Kwani jpm alikuwa mzalendo au mchinjaji. Umeshawahi sikia jk nyenere alichinja mtu
Maswali mazuri sana haya, mimi nataka kujua mgawanyo wa pesa tuuNi kweli, ila sasa..