Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

Kwani jpm alikuwa mzalendo au mchinjaji. Umeshawahi sikia jk nyenere alichinja mtu
Je uliwahi kushuhudia kwa macho yako akikuchinja au uliambiwa tu na wanasiasa uchwara?
Yani kilichotokea kwa Lowasa bado hakijawapa somo tu?

Ama kweli kenge huwa hasikii mpaka atoke damu masikioni.
 
Kichefuchefu ht kusoma.
Nimeishia kusoma heading tu mana najua humo ndani utakuwa umejaza ibada za wafu na kuliabudia lile shetani lenu la Chato.
Ashukuriwa sana Mungu Mkuu kutuondoshea mbali jinamizi lile
Sio kosa lako, kosa ni la wanasiasa uchwara, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na mateja wao ndio waliokufanya uamini hivyo.
 
Mzalendo mshenzi mkubwa yule aliyetishia tusichague upinzani kisa eti hatopeleka Maendeleo na kuwachimba biti maDED wasimtangaze mpinzani kuwa ameshinda
Mtu alieiba au kuibiwa anaonekana tu mjomba
 

Attachments

  • EghIoLTU8AAkZFV.jpg
    146.1 KB · Views: 4
  • images (6).jpeg
    10.4 KB · Views: 4
Mzalendo gan anafikia hatua ya kuwapiga risas wapinzani na kutaka kujibakisha madarakani atawale milele??

Sukuma gang wengi hamnazo,unadhan tumesahau lile wimbi la kuwapanga watu hadi speaker wa bunge kwa lugha zao za kifedhuri eti ya kwamba ATAKE ASITAKE TUTAMUONGEZEA MUDAA...!!

Haya sasa kiko wapi,muongezeeni huo muda basi.
 
What are you talking about bro?

Did you read properly kile kilichoandikwa kwenye mada husika? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230629-111851.jpg
    51.2 KB · Views: 6
Shetani hatuwezi kumuenzi
 
Yule alikuwa shetani kabisa
 
Jana sifa hizo za uzalendo,labda uzarendo! Ni jambazi kama majambazi wengine tu. Alichoweza ni kuhadaa wavivu wa kufikiri.
 
Kabla ya kusapoti upumbavu huu hebu niweke vizuri hapa. Kutumia rasilimali za taifa bila kibali cha bunge wala sheria na taratibu za nchi kama za kutangaza tenda za ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini kwake, kumpa tenda hiyo mshikaji wake ni dalili za uzalendo au uhayawani?

Kabla sijaendelea na mengine hebu liweke sawa hili kwanza
 
Unajua wapumbavu hawawezi kujificha na wewe ukiwemo.

Alipouliwa Akwilina pale kinondoni kulikuwa na wagombania uenyekiti?

Simon Kanguye alikuwa anagombania uenyekiti?

Kazi ya polisi na vyombo vya usalama ni nini kama siyo ulinzi wa raia na mali zao? Ni hatua gani zilichukuliwa na vyombo vya ulinzi kuwabaini waliohusika na kumshambulia Lissu?

Ni nani aliyetoa zile CCTV cameras kwenye maeneo yote pale kwenye nyumba za viongozi wa serikali? Ni hao wanaogombania uenyekiti?

Tuache masihara hivi nyie sukumagang mnaamini watu ni wapumbavu kama wale vijana wenu majuha wa Lumumba unaweza kuwaambia chochote wakatoka hapo wakaimba kama makasuku? Nyie ni wajinga Hadi mnatia kichefuchefu
 
Hili sio kosa lako ni kosa la wale waliokumezesha uongo huu kwa faida zao na familia zao.
 
Kazan kusubiri labda.....
 
Sio kosa lako, kosa ni la wanasiasa uchwara, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na mateja wao ndio waliokufanya uamini hivyo.
Siaminishwi na yeyote.
Mimi shetani lenu lile lilishanivaa live nikasota miaka 6 mpk lilipokufa kifo cha fedheha ndo nikarejeshewa haki zangu
 
Mtu alieiba au kuibiwa anaonekana tu mjomba
Eti mkichagua upinzani sileti maendeleo.
Lilikuwa linaona km hii nchi ni ya kwake likasahau kwamba yupo Muumba Mkuu, si akipita nalo kimasihara tu
 
naunga mkono hoja kwa mikono miwili kuna kitu kimepwaya kwa sasa hata kwa mwono wa mtoto mdogo anagundua
 
Maswali mazuri sana haya, mimi nataka kujua mgawanyo wa pesa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…