Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

Kichefuchefu ht kusoma.
Nimeishia kusoma heading tu mana najua humo ndani utakuwa umejaza ibada za wafu na kuliabudia lile shetani lenu la Chato.
Ashukuriwa sana Mungu Mkuu kutuondoshea mbali jinamizi lile
Na kutuletea DPW
 
Nani alimuua Akwilina?
 
Maneno mengi unaisifia TAKATAKA ambayo haiwezi kusafishika. Mtu mwema wala hahitaji kwa kuandikwa kwa insha ndefu kihivyo. Ndivyo walivyo akina Nyerere, Mandela au Mkapa.

Huyo Magufuli muuaji wa Chato yuko ukurasa mmoja pamoja na akina Iddi Amin, Hitler na Mussolini huko jehanam.
 
Swali zuri sana. Ila mpaka sasa uliemuuliza swala hajaja kujibu.
Dudu nipo ninamsubiri,nchi imejaa wahuni wapo kusifia ujinga,
Njoo na ushahidi wa huu ujinga wako.
 
Magufuli aliua wengi hapaswi kuenziwa.
 
Mkapa kafanya lipi la maana? Kujiuzia migodi ya dhahabu na kubinafsisha kila kitu?
 
Dudu nipo ninamsubiri,nchi imejaa wahuni wapo kusifia ujinga,

Njoo na ushahidi wa huu ujinga wako.
Hana ushahidi wowote, ye mwenyewe kamezeshwa maneno na wenye vyeti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…