BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.
Na sijaelewa Dotto aliekuwa katibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Sseseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.
Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.