Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Aangazie mandhari ya Makao Makuu ya chama kwanza, haifurahishi chama kikubwa chenye ushawishi kuwa na HQ ya kivile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aangazie mandhari ya Makao Makuu ya chama kwanza, haifurahishi chama kikubwa chenye ushawishi kuwa na HQ ya kivile.
Bila ushahidi,uzi huu hauna umuhimu wowoteKama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.
Na sijaelewa Dotto aliekuwa katibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Sseseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.
Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Halafu anavyojifanya mtu wa dini na ka sauti ka upole, Sasa hizo Hela si apeleke kigoma?
Mkuu
Tupe usuli zaidi mkuu. Ilikuwaje mpaka akateuliwa VP wwkati CV inanukia ufisadi? Influence ya KIKWETE kutaka kucontrol executive branch ,kwani Mpango ni chura wake toka akiwa kitengo cha uchumi pale Ikulu yeye akiwa rais!